Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ile ya Mond ni model ya 2020 kabla ya ile facelift iliotoka juzi juzi tu hapa! Ila gari nafuu kwa Marekani kuileta bongo hamna unafuu wowote mzee baba!
 
Nao wanao amua kuiba gari kama hilo, na kulileta huku bongo hawana akili nzuri

Mkuu kuna watu wana moyo na kuona labda watapiga hela ndefu ila kweli ni ujinga kwa ndinga kama hilo

Nakumbuka zamani enzi za mzee Daniel Arap Moi kuna vijana wa kisomali waliiba gari lake na kulipeleka Somalia na yote hiyo ilikuwa ni kwa sababu ya mahusiano mabaya kati ya Somalia na Kenya

Halafu bandits wengine wakaiba gari la Uhuru likapatikana uganda

Nairobi ilipewa jina la Nairobbery [emoji23][emoji23]
 

Aahahahahahaa polee, mimi ilinikuta ilikiwa saa nne usiku namfata mtu Shekilango. Nalistukia hili hapa nikalivaa hivohivo nilivotua hata sikusimama niliogopa lile giza.
Ila kuna katusi kalinitoka kuwaelekezea Tanroads...😅.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…