Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama nilivyosema hayo magari ni very cheap ukinunua used brand new ndio shida. Kama hio Chrysler 300 c nilinunua dola elfu saba, na hio dodge nilinunua dola elfu nane mia tano na ile bmw ilikuwa dola 5000 na zote nikaingiza kwenye 40 feet container zote tatu. maana kutoka marekani huwezi kusafirisha gari ikiwa uchi lazima iwe kwenye container. na kusafirisha container mpaka tanzania dola 5000.

Kwahiyo hata hio escallade ukitaka ya 2017 au 2015 bado utainunua hata kwa dola elfu 25 mpaka 35 kwa bei nafuu. kama picha inavoonyesha hapo chini ni ya mwaka 2017. Pia wenzetu kila mwaka unavyoanza wanaacha gari ya mwaka uliopita. yaani gari nyingi barabarani ni za miaka minne au mitano nyuma.

Ila hio ndiga ya 2015 ikifika bongo utaiona kama brand new kumbe ishatumika balaa.

View attachment 1831071
Ile ya Mond ni model ya 2020 kabla ya ile facelift iliotoka juzi juzi tu hapa! Ila gari nafuu kwa Marekani kuileta bongo hamna unafuu wowote mzee baba!
 
Nao wanao amua kuiba gari kama hilo, na kulileta huku bongo hawana akili nzuri

Mkuu kuna watu wana moyo na kuona labda watapiga hela ndefu ila kweli ni ujinga kwa ndinga kama hilo

Nakumbuka zamani enzi za mzee Daniel Arap Moi kuna vijana wa kisomali waliiba gari lake na kulipeleka Somalia na yote hiyo ilikuwa ni kwa sababu ya mahusiano mabaya kati ya Somalia na Kenya

Halafu bandits wengine wakaiba gari la Uhuru likapatikana uganda

Nairobi ilipewa jina la Nairobbery [emoji23][emoji23]
 
Pale Sinza Mugabe kabla ya kukunja kwenda mawasiliano ukiwa unatokea shekilango, nilipiga lile tuta nikiwa 100kph.

Nilikuwa sijapita ile njia muda mrefu sana. Hiyo siku napita saa 8 usiku nipo speed nashangaa gari imepaa. Ilivyotua ilibidi nipaki pembeni kama nusu saa nasikilizia shida itajitokeza wapi.

Ile siku sitakaa niisahau.

Aahahahahahaa polee, mimi ilinikuta ilikiwa saa nne usiku namfata mtu Shekilango. Nalistukia hili hapa nikalivaa hivohivo nilivotua hata sikusimama niliogopa lile giza.
Ila kuna katusi kalinitoka kuwaelekezea Tanroads...😅.
 
Unaingilia pale Mombo halafu unaanza kupanda mlimani. Ukifika Lushoto town unaendelea kupanda ndio unafika hapo Swiss cottage na kuna ingine inaitwa Muller's lodge ndio imepakana kabisa na kwa late Pres Mkapa.

761519A8-5E33-4664-8FA9-A1F8EAD4EBD0.jpeg


Onga-mshee

94122476-267D-49AA-A8C3-2ED38CCE85C3.jpeg


Winuka zezee...!👋
 
Back
Top Bottom