Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

...wazee wa Subie tukutane kwenye hema la blue...tuna kikao chetu pale...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Screenshot_2021_0627_165152.jpg
 
Kunaboa sana. Nilileta watu waone tu how much panaboa. Nilisoma O level kule, so nafahamu mitaa nikawaonyesha.

Less than sn hour later nikasepa nikaingia The Horizon Park, unakatiza kushoto kama 7km baada ya roundabout ukitokea Bagamoyo. Hapo ndio tukachill na kupata meal then tukarudi Dar.

Nikiwa naingia Bagamoyo Kuna washkaji walikuwa na Subaru Forester SG5 ina mwezi toka iingie Bongo... niliona anataka ligi, nikamtanguliza kama gari nne mbele. Less than a minute later hakuonekana kwenye side mirror [emoji23]

Kufika Bagamoyo tukajikuta tumefika sehemu moja, aka appreciate stori alizoskia kuhusu Fuga. Wakaomba irudiwe irudiwe wakabadilisha na dereva, tuongozana mpaka round about pale baada tu ya kuizunguka nikakanyaga nikayeyuka. Nikawasubiri mbele tukaongozana mpaka Horizon.

Ligi ilileta urafiki, tukakaa pamoja Horizon na kusepa pamoja kurudi Dar.
Naomba siku moja viumane mie na wewe , hadi barabara iombe pooo.. subaru hakuna maajabu, yangu hadi nimegawia vijana site.. gari ya kijinga sana. Hii wiki inayo anza mda wowote nakinukisha dodoma kwanza then singida
 
My favourite route was A40>M40>M42>M6 Toll wakati huo haikuwa na cameras sijui siku hizi

Hizo ndio route nzuri kwa kuelekea North ila nilipita Luton kwa jamaa nikaenda kuunganisha mbele

Camera zipo baadhi tu na siku hizi barabara zote kubwa zimekuwa smart motorways na Digital Roads
Ila zimepunguza jam kwa kiasi kikubwa ingawa ni slow wakati mwingine
 
Back
Top Bottom