Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kona tamu hizii, zinatia hofu ila zinanoga spidi 60 hadi 80 kwa wazoefu. Mradi mkono usikae mbali na honi tuu na mguu usicheze mbali na break 😅.
Hizi kona nilikuwa nashuka na 60kph kuna sehemu unasahau kama uko pembeni ya mlima! Ukizoea inakuwa kawaida wale wajinga wa mabasi wanaovateki hadi kwenye kona!
 
Kuna beach inaitwa Ushongo ipo mbele ya Pangani kama unaenda Kipumbwi.

Ni nzuri na imejitenga fresh. Nilikuwa huko lastt weekend.
Kabla ya Pangani mjini Kuna Peponi beach na Bahari Pori, kisha Pangani mjini Kuna Pangadeko.

Ushongo Beach zipo nyingi Kuna Mike's, Ushongo Beach Crab, Emayani na kwa Simon Mzungu. Mbele ya Kipumbwi kama unaenda Mkwaja huko Kuna Kijongo,,Sanje Beaches.
 
Daladalani.
IMG_20210628_120033_1.jpg
IMG_20210628_120721_8.jpg
IMG_20210628_121020_5.jpg
IMG_20210628_121323_9.jpg
 
Kabla ya Pangani mjini Kuna Peponi beach na Bahari Pori, kisha Pangani mjini Kuna Pangadeko.

Ushongo Beach zipo nyingi Kuna Mike's, Ushongo Beach Crab, Emayani na kwa Simon Mzungu. Mbele ya Kipumbwi kama unaenda Mkwaja huko Kuna Kijongo,,Sanje Beaches.

Hizo Peponi na Bahari Pori nimeruka sana huko ila sio quality kama za Ushongo. Halafu pia Kigombe nako kulikuwa na beach nzuri tu ila sijaenda muda mrefu sana. Sidhani kama ipo.

Hata kati ya Kigombe na Pangani kulikuwa na jamaa ana estate kubwa sana ana private beaches hadi air strip. Ukimaliza yale mashamba ya mkonge.

Kuna wakati niliwahi kuona google wanasema beach za ushongo ni one of the best beaches in the world.

Ila kwa sasa hotel za kule ushongo zilifungwa nyingi tu. Imebaki Tides na Emayani nadhani. Ila wakati kukiwa peak, utafurahi mwenyewe.
 
Hizi kona nilikuwa nashuka na 60kph kuna sehemu unasahau kama uko pembeni ya mlima! Ukizoea inakuwa kawaida wale wajinga wa mabasi wanaovateki hadi kwenye kona!

Ahahahahhahaaa huwa sichoki kwenda Lushoto, narudia na kurudia na kurudia.

Mradi tuu isiwe usiku, napanda na kushuka lazima nipunguze kilo 2 mwilini 😅.

Nikikutana na mabasi makubwa nabana pembeni, costa na vihaisi tunapishana vizuri tuu.
 
Back
Top Bottom