Leo umegeuka tena?Naomba siku moja viumane mie na wewe , hadi barabara iombe pooo.. subaru hakuna maajabu, yangu hadi nimegawia vijana site.. gari ya kijinga sana. Hii wiki inayo anza mda wowote nakinukisha dodoma kwanza then singida
Kugeuka kuhusu nini mkuu ?Leo umegeuka tena?
Kuzichukia subaru na kupenda wajerumani.Kugeuka kuhusu nini mkuu ?
Usiku unaenda kirahisi sana, njia hio mchana ni masaa manne kwenda tuNilirudi salama wakuu.
Masaa mawili kwenda na mawili kurudi.
Wakati wa kurudi kuanzia kibamba kwa mangi wamefungulia zile barabara 3. Ile barabara tamu sana.
Hizi kona nilikuwa nashuka na 60kph kuna sehemu unasahau kama uko pembeni ya mlima! Ukizoea inakuwa kawaida wale wajinga wa mabasi wanaovateki hadi kwenye kona!Kona tamu hizii, zinatia hofu ila zinanoga spidi 60 hadi 80 kwa wazoefu. Mradi mkono usikae mbali na honi tuu na mguu usicheze mbali na break 😅.
Kabla ya Pangani mjini Kuna Peponi beach na Bahari Pori, kisha Pangani mjini Kuna Pangadeko.Kuna beach inaitwa Ushongo ipo mbele ya Pangani kama unaenda Kipumbwi.
Ni nzuri na imejitenga fresh. Nilikuwa huko lastt weekend.
[emoji4][emoji120]Pasi na shaka ntafanya hivyo kadadaa.
Barabara ikoje?Kabla ya Pangani mjini Kuna Peponi beach na Bahari Pori, kisha Pangani mjini Kuna Pangadeko.
Ushongo Beach zipo nyingi Kuna Mike's, Ushongo Beach Crab, Emayani na kwa Simon Mzungu. Mbele ya Kipumbwi kama unaenda Mkwaja huko Kuna Kijongo,,Sanje Beaches.
Sijui umewaza nini[emoji1787]Duh Kipumbwi....[emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa.Usiku unaenda kirahisi sana, njia hio mchana ni masaa manne kwenda tu
Kabla ya Pangani mjini Kuna Peponi beach na Bahari Pori, kisha Pangani mjini Kuna Pangadeko.
Ushongo Beach zipo nyingi Kuna Mike's, Ushongo Beach Crab, Emayani na kwa Simon Mzungu. Mbele ya Kipumbwi kama unaenda Mkwaja huko Kuna Kijongo,,Sanje Beaches.
Mara ya mwisho niliiacha mbaya ila sahivi wana mpango wa kujenga lami inayotokea bagamoyo na kukatisha sadani, kipumbwi, pangani mpaka tanga.Barabara ikoje?
Mkuu sijawai kuzipenda subaru. Kuna uzi humu nimeziponda sanaaa.. katika gari ambazo sijawahi zipenda ni subaruKuzichukia subaru na kupenda wajerumani.
Hizi kona nilikuwa nashuka na 60kph kuna sehemu unasahau kama uko pembeni ya mlima! Ukizoea inakuwa kawaida wale wajinga wa mabasi wanaovateki hadi kwenye kona!
Kipumbwi bandarini ni hapo katika picha hizo ndio Kuna boti za uvuvi na boti/majahazi/dau za kwenda Zanzibar. Na huyo mwishoni ni basi ya Tanga-Kipumbwi ikiwa stand ya Kipumbwi.Duh Kipumbwi....😂😂