Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pipa 1 la Brent sahivi linauzwa $74.5 soko la dunia, ambayo ina translate bei hii ya Tsh. 2400. Bei ikifika $140 kama Feb 2009, bei inaweza kuwa Tsh. 4800 kwa lita.
Ulivyp ona kipindi mafuta yameshuka ndivyo yanavyo panda, na pia yatashuka tena. Huo ni mfumo wa soko aina lolote lile, hata yapande paka 6,000 ila pia yatashuka pia
 
Ulivyp ona kipindi mafuta yameshuka ndivyo yanavyo panda, na pia yatashuka tena. Huo ni mfumo wa soko aina lolote lile, hata yapande paka 6,000 ila pia yatashuka pia
Naomba uweke rekodi. Kifupi yamepanda mfululizo miezi minne kwa wastani wa sh 100, kasoro ongezeko la mwezi huu limezidi 150 kwasababu kuna kodi imeongezeka sh 100. Siku ikishuka hadi kufikia bei ya miezi minne iliopita (2000+) nishtue.
 
Siongei maneno matupu, naenda chart. Ndicho ninacho ongelea labda kama hatuelewani na ninacho maanisha. Kwenye market yoyote huwa kuna correction. Ndio maana nakataa kwamba yatapanda moja kwa moja
 
Nimekwambia hivi yakishuka hadi tzs 2000 nishtue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…