Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pipa 1 la Brent sahivi linauzwa $74.5 soko la dunia, ambayo ina translate bei hii ya Tsh. 2400. Bei ikifika $140 kama Feb 2009, bei inaweza kuwa Tsh. 4800 kwa lita.
Ulivyp ona kipindi mafuta yameshuka ndivyo yanavyo panda, na pia yatashuka tena. Huo ni mfumo wa soko aina lolote lile, hata yapande paka 6,000 ila pia yatashuka pia
 
Ulivyp ona kipindi mafuta yameshuka ndivyo yanavyo panda, na pia yatashuka tena. Huo ni mfumo wa soko aina lolote lile, hata yapande paka 6,000 ila pia yatashuka pia
Naomba uweke rekodi. Kifupi yamepanda mfululizo miezi minne kwa wastani wa sh 100, kasoro ongezeko la mwezi huu limezidi 150 kwasababu kuna kodi imeongezeka sh 100. Siku ikishuka hadi kufikia bei ya miezi minne iliopita (2000+) nishtue.
 
Mdogo mdogo 😊😊😊
IMG_20210701_125957903.PORTRAIT.jpg
 
Naomba uweke rekodi. Kifupi yamepanda mfululizo miezi minne kwa wastani wa sh 100, kasoro ongezeko la mwezi huu limezidi 150 kwasababu kuna kodi imeongezeka sh 100. Siku ikishuka hadi kufikia bei ya miezi minne iliopita (2000+) nishtue.
Siongei maneno matupu, naenda chart. Ndicho ninacho ongelea labda kama hatuelewani na ninacho maanisha. Kwenye market yoyote huwa kuna correction. Ndio maana nakataa kwamba yatapanda moja kwa moja
Screenshot_20210701-140228_MetaTrader 4.jpg
 
Tazama hiyo chart. Nimekuwekea time frame ya mwezi, hizo candele black yalishuka thamani, na hizo nyeupe yamepanda thamani. Kuna kipindi yalikuwa juu kabisa na yakashuka chini kabisa karibia na hiyo hammer like, then yanapanda, ni kitu cha kawaida kwenye mafuta..

RRONDO
Nimekwambia hivi yakishuka hadi tzs 2000 nishtue.
 
Back
Top Bottom