Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

😀😀😀 mkuu chombo hicho, mengine humu huwa just utani mkuu wangu. Chombo yako imenyooka sana boss
 
Eh atleast wajapan wamepewa sifa kidogo maana tunaonekana tupo nyuma kweli
 
Na naona hapa kumbe kuna 4litre ecoboost ford mustang
Asee kumbe tatizo ni pesa tu

Ukiwa nalo hilo unapendeza njiani mafuta kidogo muonekano wa kibabe na spidi ya kiaina
 
Hamna mwendo mle mkuu. Y60 la diesel lina kelele tu
160 au 170 huo ni mwendo tosha. na raha ya nissan kelele mkuu. kelele ndio mambo yake sasa. nikipitaga kariakoo waarabu na wapemba wananiuliza hauiuzi. Kila ninapopita nalo wale wanaojua magari lazima wakubali saa nyingine mu ananipigia tu salute kwaajili ya nissan y60.
 
Lina raha yake wewe huwezi jua mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…