mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Na kwa ile Nissan Y60? Arusha unakwemda kwa full tanki moja au ?Ukisha nunua gari swala la mafuta usilalamike. kaa ukijua gari linahitaji mafuta mda wote. mm full tank ya majesta hainifikishi arusha lazima nijaze tena kabla sijafika moshi