Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kabisa nyie wazee wa kutembea mda wote bara barani ndio mnajua vyombo, ulivyokiita upumbavu nikakumbuka 35+M niliyodondosha mpaka kuitia mkononi + vi hela kadhaa vya kununua sterling rack ambayo bado ipo nairobi roho ikaniuma

Picha ina mda kidogo View attachment 1837236
😀😀😀 mkuu chombo hicho, mengine humu huwa just utani mkuu wangu. Chombo yako imenyooka sana boss
 
Chrysler ndani ni simple tu ila comfortability Chrysler ni kali halafu ni nzito pia inakimbia mno ni 240km ph. Crown Athelete nalijua sana ile gari nilinunua mwaka 2013 nikaliuza mwaka 2018. Nanimesafiri nalo sanaa mpaka basi. ni gari nzuri nalo lipo comfortable tena likiwa na mzigo ndio huwa linakaa vizuri barabarani. au uwe umepakia vibonge wanne nyuma. hahahahahhahhaha. ila kwa sasa nina majesta V8 naona ni kama ndege ndani fridge kila kitu sensors za kutosha. ukisafiri hautamani kufika.
Eh atleast wajapan wamepewa sifa kidogo maana tunaonekana tupo nyuma kweli
 
Hamna mwendo mle mkuu. Y60 la diesel lina kelele tu
160 au 170 huo ni mwendo tosha. na raha ya nissan kelele mkuu. kelele ndio mambo yake sasa. nikipitaga kariakoo waarabu na wapemba wananiuliza hauiuzi. Kila ninapopita nalo wale wanaojua magari lazima wakubali saa nyingine mu ananipigia tu salute kwaajili ya nissan y60.
 
Lina raha yake wewe huwezi jua mkuu.
 
Back
Top Bottom