Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nitakuwepo.Oohh karibu mama umefikia wapi na utakaa hadi lini
Hahaha mimi nipo kwa mama sasha narudi kesho jioniNitakuwepo.
Nitakuambia nilipo uje.
Usije niambia sijui tukutane kariakoo,nitapotea mchana kweupe[emoji38].
Oh wasalimie Sana..Hahaha mimi nipo kwa mama sasha narudi kesho jioni
Hahaha mie sijui kwanini kwenye sector zingine zote huwa naogopa kifo ila when it comes to travelling huwa nasahau kabisa kama kuna kufa yaani huwa niko tayari kwa loloteOh wasalimie Sana..
Natamani nifike huko ila itabaki kuwa ndoto, siwezi kuelea kwenye maji Mimi.
Yaani kufa siogopi,hata Sasa naweza kufa ila kuelea kwenye maji wallah sijajaribu bado na siji kujaribu aisee[emoji16].Hahaha mie sijui kwanini kwenye sector zingine zote huwa naogopa kifo ila when it comes to travelling huwa nasahau kabisa kama kuna kufa yaani huwa niko tayari kwa lolote
Hahaha sasa kinachofanya uogope ni nini kama siyo kufa tu au ndiyo ile "siogopi kufa ila inategemea na aina ya kifo"Yaani kufa siogopi,hata Sasa naweza kufa ila kuelea kwenye maji wallah sijajaribu bado na siji kujaribu aisee[emoji16].
Ninachoogopa ni kitendo Cha kuelea kwenye maji[emoji23],siwezi hata kwa dawa.Hahaha sasa kinachofanya uogope ni nini kama siyo kufa tu au ndiyo ile "siogopi kufa ila inategemea na aina ya kifo"
Nakuelewa mama nilikuwa nakuzingua tu! Kuna vitu vinaweza kukukuta na visikusababishie kifo ila vikakusababishia kilema cha maisha na hicho ndicho baadhi ya watu huogopa!Ninachoogopa ni kitendo Cha kuelea kwenye maji[emoji23],siwezi hata kwa dawa.
Kuna vitu tu nina phobia navyo mf maji na kusimama pembezoni kwa ghorofa na kuchungulia chini yaani siwezi kabisa.
YeahPhobia ni ugonjwa wa kuogopa si ndio
Huo mstari wa mwisho 😳😳Nakuelewa mama nilikuwa nakuzingua tu! Kuna vitu vinaweza kukukuta na visikusababishie kifo ila vikakusababishia kilema cha maisha na hicho ndicho baadhi ya watu huogopa!
Binafsi kuna vitu naviogopa kuliko hata kifo eg. Ukilema (hasa kupoteza kiungo chochote cha mwili), Ndoa/Mahusiano [emoji23][emoji23]
Ila meli/maji hayawezi leta kilema[emoji23].Nakuelewa mama nilikuwa nakuzingua tu! Kuna vitu vinaweza kukukuta na visikusababishie kifo ila vikakusababishia kilema cha maisha na hicho ndicho baadhi ya watu huogopa!
Binafsi kuna vitu naviogopa kuliko hata kifo eg. Ukilema (hasa kupoteza kiungo chochote cha mwili), Ndoa/Mahusiano [emoji23][emoji23]
Itakuwa.Phobia ni ugonjwa wa kuogopa si ndio
UNAJUA NISSAN SAFARI NA NISSAN PATROL ZINAUTOFAUTI. BODY NI SAWA KABISA ILA NISSAN SAFARI MLIO WAKE NI NOMA UNA SAUTI YA KUKWARUZA. HALAFU LINA BETRI MBILI 24 VOLTS. UKIPATA MDA CHUNGUZA UTAONA TOFAUTI ZAKE.160 au 170 huo ni mwendo tosha. na raha ya nissan kelele mkuu. kelele ndio mambo yake sasa. nikipitaga kariakoo waarabu na wapemba wananiuliza hauiuzi. Kila ninapopita nalo wale wanaojua magari lazima wakubali saa nyingine mu ananipigia tu salute kwaajili ya nissan y60.
"Kuna Vitu"Ila meli/maji hayawezi leta kilema[emoji23].
Magari at least yanajitahidi kuleta vilema..mimi yalishanizawadia kilema[emoji38].
Ila usiogope kupata ulemavu[emoji1] anything might happen.
Yaani unaogopa hadi ndoa??[emoji23]
Mbona ndoa tamu tu[emoji1787][emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo mstari wa mwisho [emoji15][emoji15]
Ulemavu si lazima kiungo kikatoka[emoji38]"Kuna Vitu"
Duuh kilema gani tena? Mimi nikiona kilema huwa naumia na huwa nawaza mambo mengi sana sema tu ndiyo hivyo hatuna namna na hatuijui kesho yetu!
Hahaha halafu unajua sababu ila unajisahaulisha tu! Ndoa tamu mdomoni ila kwa ninayoyashuhudia kwa walionizunguka huwa nabaki tu kusema "no thank you"!
Sasa ulemavu ninaouogopa mimi ni ule wa kiungo fulani cha mwili kutoka au kuharibikaUlemavu si lazima kiungo kikatoka[emoji38]
Kinaweza kupinda tu kama mkono wangu.
Ni mambo ya kawaida duniani.
Ndoa tamu wewe nasikia[emoji38],itakuwa tu bahati mbaya umekutana na wanandoa wenye ego za kijinga na wasiojitambua.
Meli na vivuko endeleeni kupanda,ashukuriwe Mungu nasikia kigamboni kuna daraja ati..bila hivyo ningeendelea kuisikia tu kigamboni.
Kumbe ulikuja dar? Mbna hukunicheki tumeet cc jaman? Tabia mbaya hii lol.Mbezi Stand yenu mpya ya baba kipenzi Anko Magu.
Paragraph ya mwsho huwa ndo mawazo yangu, [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ulemavu ninaouogopa mimi ni ule wa kiungo fulani cha mwili kutoka au kuharibika
....
Hizi ndoa sometimes unapata mtu anamkosea mwenzie kwa makusudi kabisa akijua lazima tu atasamehewa na mbaya zaidi unakuta anajihalalishia kufanya makosa na anataka mwenzie amvumilie
As time goes on najipata nagundua kuwa ndoa/mahusiano havipo kwa ajili ya kila anayekuja duniani hivyo wengine tumeamua kuchagua kuishi maisha yetu na kufanya mambo mengine tu
....
Tatizo ile njia ya kwenye daraja huwa ina foleni sana na mara nyingi kinachosababisha zile foleni ni ile migari ya mizigo inayotoka bandarini wallahi unaweza ukalaani
Mimi mara nyingi huwa natumia vivuko tena natamani hata vingekuwa vinazunguka kwanza ile peninsula yote halafu ndiyo vinarudi kupark kivukoni basi tu ili mradi safari iwe ndefu