Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sasa ulemavu ninaouogopa mimi ni ule wa kiungo fulani cha mwili kutoka au kuharibika

....

Hizi ndoa sometimes unapata mtu anamkosea mwenzie kwa makusudi kabisa akijua lazima tu atasamehewa na mbaya zaidi unakuta anajihalalishia kufanya makosa na anataka mwenzie amvumilie

As time goes on najipata nagundua kuwa ndoa/mahusiano havipo kwa ajili ya kila anayekuja duniani hivyo wengine tumeamua kuchagua kuishi maisha yetu na kufanya mambo mengine tu

....

Tatizo ile njia ya kwenye daraja huwa ina foleni sana na mara nyingi kinachosababisha zile foleni ni ile migari ya mizigo inayotoka bandarini wallahi unaweza ukalaani

Mimi mara nyingi huwa natumia vivuko tena natamani hata vingekuwa vinazunguka kwanza ile peninsula yote halafu ndiyo vinarudi kupark kivukoni basi tu ili mradi safari iwe ndefu
Muombe Mungu akuepushe na kikombe Cha ulemavu.


Mungu mwenyewe anajua namna ya kumnyoosha mtu anayemtendea mabaya mwenza wake.
Yaani ukiwa fair kwa mtu halafu yeye anakukosea akitegemea tu asamehewe basi jua Mungu atamnyoosha tu.
Mungu ni wa haki sana,hawezi acha uteseke bure.

[emoji23]Ndoa ni kwa ajili ya watu wote japo siyo lazima ila ni muhimu.
Naona unayaongea haya pia kwa sababu ya umri[emoji23]bado mdogo.

Kumbe daraja lina foleni!,kwani hairuhisiwi sisi watembea kwa mguu tukatembea tu kwa mguu??
Basi kigamboni nitaendelea kuiona kwenye TV.


Yaani unatamani kivuko kijizungushe tu ili mradi Safari iwe ndefu!?!!!tena kwenye maji[emoji134]!


Mimi safari ikishaanza kuwa ndefu najihisi naugua njiani.
Juzi Kati hapa gari niliyokuja nayo ilikuwa inatembea utadhani daladala ya skuu-uyole..,nikajisemea moyoni yaani hapa hadi ichanganye ifike basi cha moto nitakuwa nimekiona.
 
Kumbe ulikuja dar? Mbna hukunicheki tumeet cc jaman? Tabia mbaya hii lol.
Bado nipo.
Sijaanza kuzurura hadi niwe na mwenyeji,si unajua mimi wa mkoani eehh!
Kupotea nje nje,,mfano nikitoka hapa niende k/koo ,,I'm sure sitaweza kurudi,nitapotea..
Mimi mbovu sana kwenye dira(hii hata kule kwetu mkoani huwa inanikuta).

Ila hapo kwenu nadhani ndiyo sehemu pekee ninayoijua hapa DSM.
 
Unafaa kabisa kuenda kazini na kurudi nyumbani.

Ntaleta mrejesho.
Hapa inanusa tu kama IST
IMG_20210705_075856.jpg
 
Mie yangu ipo na hako ka sign hadi nimekapuuza tu, sijui shida itakuwa nini. NilIbadirisha tyre zote lakini bado kapo tu.. nahisi labda natakiwa ku clear
Nilijua ni mimi tu. Nimepambana kuangalia pressure, nimefunga tyre mpya zote nne bado kapo tu! Kuna siku nilikazima (kuna button chini ya steering wheel hapo) kakaa siku tatu kamerudi. Kuna mlio wa bearing nausikia nafikiri inaweza kuwa sababu nikibadili nitaleta mrejesho.
 
Back
Top Bottom