Yaani nina tatizo la kukosa hela unataka niongeze na tatizo jingine la ndoa??[emoji23]
Mwisho matatizo yaniue!!
Nikishapata hela labda nitafikiria kuolewa.
Ndoa ni nzuri tu,na ndiyo maana Mungu akaiweka.
Pombe nataka nijaribu ili nipunguze mawazo,ila bahati mbaya kila mlevi ninayemuuliza pombe nzuri kwa mimi kuanzia nayo,hataki kunielekeza..
Hadi mchumba wangu wa selfika amekataa kabisa [emoji23],anasema hataki kubeba dhambi.
Bora unielekeze wewe rafiki yangu.
Mweeee Yaani nije nikutembelee unataka nipotee??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naijua sehemu nilipofikia tu..huko kwingine ni kutaka kunipoteza mjini hapa.