Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hata mimi sijawahi kunywa pombe.Toka nimezaliwa sijawai weka pombe kinywani mwangu.. na huu umri wangu naona ndio imetoka hiyo
Ila wanaokunywa wanasema inapunguza mawazo..
Wewe kwanini hudhani kama pombe inapunguza mawazo ili hali hujawahi kuonja?