Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pombe ina raha ukinywa kwa kiasi Holy Man asikulete [emoji1787][emoji1787]

Imagine umekula umeshiba, afu unashushia na glass ya mvinyo? Kuna ka feeling amazing[emoji23]
Yaani amejitahidi sana kunikatisha tamaa.

Kuna siku nilikuwa naongea na dogo mmoja,,ni Mwalimu wangu wa praise kanisani,akawa anasema yaani dada ukiwa kwenye tamasha,ukashushia na glass yako ya wine basi mambo burudani.

Nikajishangaa jinsi nilivyo nyuma ya wakati..
Hadi Mwalimu wangu anakunywa wine,mimi sijawahi.

Nitajaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…