ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Ndo nimeingia bambalaga hapa. Bado usiku ni wakati bora sana kwangu kusafiri. Nime enjoy balaa leoNoma sana mkuu. Sasa hivi nime cut safari zote za usiku.. usiku hunitembezi asee.. naona usiku risk kanakuwa kakubwa kidogo kuliko mchana ingawa ajari yaweza tokea mda wowote
Apumzike kwa amani.
😀😀😀😀😀.. Safi mkuu, safari nazisikia kwenye bomba tuNdo nimeingia bambalaga hapa. Bado usiku ni wakati bora sana kwangu kusafiri. Nime enjoy balaa leo
Hatari sana, Mungu huwa anatulinda tu. Kuna siku mie mtu mwenye scania kanifata mzima mzima, na nanilikuwa natembea 40 to 50kmh.. hapo lingetokea watu wangejua nilikuwa speed..Nasikia ni USO Kwa USO na Lori. Hadi Lori limeanguka!
Hii sura sio ngeni dah!
Ukweli ni Mungu tu. Unaweza tembea kwa miguu boda boda akakufata na kukupasua hapo hapo biashara ikaishaMay his soul Rest Easy.
Gari itarejeshwa na insurance.
Ila viungo vya binadamu/ uhai hauna insurance kwa maana vikipotea / vikiharibika ndo basi.
Hata mtu akiwekewa viungo bandia tayari ni ulemavu wa maisha.
Mungu atusaidie kuwa makini barabarani, na kuyatathmini maisha na umuhimu wake kabla ya kufanya maamuzi magumu / yatayoleta madhara mbeleni.
Hapo unatuma tu namba ya lipa na m-pesa 🙂🙂Haya tuanzie hapa kesho Nipo free
Hapo unatuma tu namba ya lipa na m-pesa [emoji846][emoji846]
Yoyote tu mkuu.. 😀😀Hamna shida tukutane badae
Hii offer ya local beers Au imported? [emoji1787][emoji1787]
Mola tuu ndo muweza ndo ambae anaweza kuwa amewanusuru waliokuwepo humo...huo mzinga si wa kitotoTuwe makini wakuu...haijalishi uko na Mjapani au Mzungu... Discovery 4 hio
View attachment 1843534View attachment 1843535
Inna lillah wainna ilaih rajiuun.....gone too early,rest easy pal
Haya majanga ni Mungu tu hutuepusha, ila sio gari au dereva mtaalamu.Mola tuu ndo muweza ndo ambae anaweza kuwa amewanusuru waliokuwepo humo...huo mzinga si wa kitoto
Ha ha ha yalinikuta hayo nilisimulia humu...malori mawili yanashindana sina pa kwenda yaani ilibaki mita kadhaa niamue kutumbukia kwenye bonde na watu wangenikuta huko wangesema mwendokasi Kona imemshinda!Hatari sana, Mungu huwa anatulinda tu. Kuna siku mie mtu mwenye scania kanifata mzima mzima, na nanilikuwa natembea 40 to 50kmh.. hapo lingetokea watu wangejua nilikuwa speed..
Watu wange jua ulikuwa na 175kmh 😀😀😀.. Hatari sana, na hii ni moja ya sababu za msingi sana ku kata na safari zote za usiku, kujaribu ku minimize risk. Huku tukimtegemea Mungu zaidi.Ha ha ha yalinikuta hayo nilisimulia humu...malori mawili yanashindana sina pa kwenda yaani ilibaki mita kadhaa niamue kutumbukia kwenye blonde na watu wangenikuta huko wangesema mwendokasi Kona imemshinda!
Nikitoka hapa mguu unanyooshwa Babati, niuonje ule mkeka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. Safi mkuu, safari nazisikia kwenye bomba tu
Mkuu unanitamanisha, na mie hapa naelekea kuunda safari ya Tanga, kama sio kesho basi kesho kutwa 😀😀Nikitoka hapa mguu unanyooshwa Babati, niup je ule mkeka
Inatafutwa excuse tu hapo.... mguu ushakuwashaMkuu unanitamanisha, na mie hapa naelekea kuunda safari ya Tanga, kama sio kesho basi kesho kutwa [emoji3][emoji3]
😀😀😀 tulishazoea mkuu.. hata kidogo tukatulie tangaaa aseeInatafutwa excuse tu hapo.... mguu ushakuwasha