Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

May his soul Rest Easy.

Gari itarejeshwa na insurance.

Ila viungo vya binadamu/ uhai hauna insurance kwa maana vikipotea / vikiharibika ndo basi.

Hata mtu akiwekewa viungo bandia tayari ni ulemavu wa maisha.

Mungu atusaidie kuwa makini barabarani, na kuyatathmini maisha na umuhimu wake kabla ya kufanya maamuzi magumu / yatayoleta madhara mbeleni.
Ukweli ni Mungu tu. Unaweza tembea kwa miguu boda boda akakufata na kukupasua hapo hapo biashara ikaisha
 
Hatari sana, Mungu huwa anatulinda tu. Kuna siku mie mtu mwenye scania kanifata mzima mzima, na nanilikuwa natembea 40 to 50kmh.. hapo lingetokea watu wangejua nilikuwa speed..
Ha ha ha yalinikuta hayo nilisimulia humu...malori mawili yanashindana sina pa kwenda yaani ilibaki mita kadhaa niamue kutumbukia kwenye bonde na watu wangenikuta huko wangesema mwendokasi Kona imemshinda!
 
Ha ha ha yalinikuta hayo nilisimulia humu...malori mawili yanashindana sina pa kwenda yaani ilibaki mita kadhaa niamue kutumbukia kwenye blonde na watu wangenikuta huko wangesema mwendokasi Kona imemshinda!
Watu wange jua ulikuwa na 175kmh 😀😀😀.. Hatari sana, na hii ni moja ya sababu za msingi sana ku kata na safari zote za usiku, kujaribu ku minimize risk. Huku tukimtegemea Mungu zaidi.
 
Je Hii Ni Gari Gani.jpg
 
Back
Top Bottom