Kujilinda ni muhimu mkuuKhaa!
Haipendezi[emoji2] kuwa criminal..
Nipo mbioni kwenda Australia kupiga mishe hizi huko
SecondedZile S za Nyang'oro pia ni breath taking
Nikaingia zangu ndani ndani huko, njia ya Kwenda DongoBesh...
Kuna mlima mkali mno wameuwekea na lami kabisa, ila una views tamu sana
View attachment 1849732View attachment 1849733View attachment 1849735View attachment 1849734
Ijumaa
Nimetoka kabanga/ngara, nikiwa na tani 30 za maharage
Nimepanda k9 usiku wa saa 7 hadi benaco salama salimini, nikashuka mizani nyakatura, nikaenda kupumzika nyakanazi
Mapema tu nikalianzisha na P 360 kidot, kupitia mbogwe, runzewe hadi kahama, mzigo ukawa umecheza nikapanga upya
Toka kahama tinde, nzega, igunga singida nikalala manyoni Emirates pale..
Alfajiri nikalianzisha shusha salanda salanda bahi na dom kagua mzigo, gari shwari
Barabara ni safi kabisa hakuna utekaji wizi wala usumbufu
Shida ikaanzia kibamba hapo, vijana wakadandia wakachana turubai bahati nikaona, nikasimama nikaomba ulinzi shirikishi hapo hadi sokota, nikawalipa
Saa namalizia kushusha mzigo wa watu hapa temeke
Kitambo sana hiyoDongobesh imewekwa lami jamani?
Last time nimefika 2010
Australia zile truck zao za coal balaa.Khaa!
Haipendezi[emoji2] kuwa criminal..
Nipo mbioni kwenda Australia kupiga mishe hizi huko
Mkuu acha tuAustralia zile truck zao za coal balaa.
Truck - Train.
Amen[emoji120]Kujilinda ni muhimu mkuu
Si kila anayemiliki chuma ni criminal
Kila la heri na nakuombea ufanikiwe huko kwenye nchi za wenzetu
Manyoni to Tabora Via ItigiMy Favorite roads 2021 kama unapenda kunyoosha goti!
1. Manyoni - Tabora (Via Itigi hatari sana but usipate breakdown hakunaga msaada ile njia[emoji1787]
2. Arusha-Longido
3. Arusha - Manyara, na Kondoa- Dom
4. Biharamulo - Muleba
5. Makambako - Igawa (sema mchana kuna tochi kali sana)
My Best Sceneries
1. Moro - Iringa
2. Mbeya - Kyela (Nature ya hapa ni balaa)
3. Arusha-Namanga (Landscapes, vilima, wanyama)
4. Muleba - Chato (driving along Lake Victoria)
5. Himo-Marangu, Kilema, Rombo (hizi njia ukipata muda pita tu hata bila sababu kunavutia sana sana)
6. Mombo- Lushoto
7. Mbeya- Chunya
8. Mara-Serengeti- Ngorongoro Arusha Kama una gari ya juu don’t miss this
Zingine muongezee wazee
Mby to chunya is more!Zile S za Nyang'oro pia ni breath taking
Umetaja dagaa dagaa umenikumbusha 2013 dah! Maisha yanaenda haraka sanaa.. leo hii ☺☺Asante jirani
Nipo dagaa dagaa hapa, karibu
Shusha kisa hichoUmetaja dagaa dagaa umenikumbusha 2013 dah! Maisha yanaenda haraka sanaa.. leo hii [emoji5][emoji5]
Maeneo gan mkuu?Nimekuta mahala basi imemwaga watu dah! Hatari sijui dereva alipitiwa na usingizi