Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mkuu hiyo barabara tamu sanaa nilitoka dom kwenda kondoa wiki iliyopita nilifurahi sana maana mwendo ni 180 narudi 160 yaani tuta nimekuja kulikuta karibu na kondoa tena unapunguza kidogo tu kama 100 hivi unapotea nilitumia saa moja na robo kutoka dom mpk kondoa.
Acha kabisa tu mkuu... unatamani barabara isiishe
 
My fave road, umeona ilivyo tamu eeh, askari waliopo ni barrier tu pale Zamahero-Zanka nafikiri otherwise ni kulaza mshale tu af hakuna traffic flow kabisa, njia ya hivi yafaa zaidi mchana tho usiku waweza ozea chaka ukipata breakdown [emoji4][emoji4]
Nimepita hatimaye mkuu, nimeiona... hizi ndio njia za kusafiri mchana. Sio Moro - Dar au Arusha - Dar
 
Nikaingia zangu ndani ndani huko, njia ya Kwenda DongoBesh...

Kuna mlima mkali mno wameuwekea na lami kabisa, ila una views tamu sana

20210711_162655.jpg
20210711_154158.jpg
20210711_154256.jpg
20210711_154154.jpg
 
Mimi nilishaacha kununua miwani kwa opticians miaka mingi tu nyuma. Nanunuaga plastic specs zenye lens tayari pale posta mpya, hata 15k haifiki. Hata nikivunja vunja haina hasara.
15k Haifiki ?[emoji848]acha utani!
Hizo zitanifaa Sana..miwani yangu hata mwezi haijamaliza[emoji856],utadhani nimetupa 50k yangu kwenye tundu la choo.

Nitakutafuta unielekeze vizuri,,Mimi mgeni huko.
 
Back
Top Bottom