ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Yai ila tamu [emoji23][emoji23]Nafikiri gari za ulaya hazitaki shurba zisizo na msingi, na kama ukiipa shurba moja kwa moja kaifanyie service ya kueleweka. Tofauti na hapo ni swala la mda .. ikichachamaa utaona ni gari sumbufu . Lilee kama yao flani hivi utafurahia mwenyewe
Naanza trip ya Babati muda si mrefu. Acha nisafiri na mwanga ni enjoy hii road