Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yeah...last time narudi Moro wamenisimamisha wakadai hadi Kadi ya gari...wtf
Hii wanauzi kweli yani, huu mchezo walikuwa nao dodoma pale unaianza chamwino.. nimesumbuana nao sana pale wananijua , siku kama mbili walinikufa kichwa kimewaka aaah! Ilikuwa shida .. na cha kushukuru haikupita wiki wakavunja kale kakizuio, wakabakija cha wale wa wazee wa mbele pale wanajielewa sana wale ma poti hadi raha
 
Dom to Kondoa. Yani hilo tuta liko ukiwa unakaribia kabisa Kondoa. Humo kati kote kweupe
Mkuu hiyo barabara tamu sanaa nilitoka dom kwenda kondoa wiki iliyopita nilifurahi sana maana mwendo ni 180 narudi 160 yaani tuta nimekuja kulikuta karibu na kondoa tena unapunguza kidogo tu kama 100 hivi unapotea nilitumia saa moja na robo kutoka dom mpk kondoa.
 
Back
Top Bottom