Kutokea Singida kuja Dar ni 24hrsNilikuwa sijui kuwa siku hizi wanaruhusiwa kusafiri usiku
Asante sana. Nipo dodoma na jioni natakiwa kuanza safari ya Tanga 🥲🥲Pole sana, usikilize na kuutii mwili wako
Una haki ya kupumzika, japo cha kale ni dhahabu.. 😀😀Awe kama mimi 😂😂😂
Hapo itabidi mchana ulale sasaAsante sana. Nipo dodoma na jioni natakiwa kuanza safari ya Tanga 🥲🥲
Avg consumption. Yeah ni kweli kuna sehem nikanyaga sana kufidia trafficHiyo 7.4km/l ni instant fuel consumption au average? Kwa mwendo huo na engine hiyo ulitakiwa ule mafuta kidogo sana. Labda kama ni average ya safari, kwamba kuna sehemu umevuta zaidi
Gari za usiku, huwa ni shida zinatembea hatariKuna siku nilifika moro saa tano usiku.nikakuta basi ya kutoka mwanza.tumeingia dar saa kumi lakini njiani almanusura tule mzinga.
Siku mbaya mbaya tu hii, nimeingia sehemu flani nimechana sample dah ☹☹☹..Utumie mchana kupumzika vizuri.
du itakuwa imechoka sana kwa million tatu. ongeza mbili upate gari ya maana kidogoGX100 unaweza kupata.