Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Nilikuwa nachukua mazaga zaga ya watumishi hewa ππKipande cha Magubike na Tabu Hotel
Nadhani ile milima iliyo pembezoni
Nasikia pamechangamka masaa yote ya usiku π§Ni sehemu mbili tofauti,chako ni chako ni karibu na kile keepleft cha uwanja wa ndege
Dom sehemu ya bata nayo jua na kuingia huwa ni Bambalaga na Royal .. kidogo na mndani kula manyama manyama chomaChombo ninacho operate hakiruhusiwi kupaki mjini, hapo hapo una king'amuzi
Hata ukipata breakdown tarura wanakufanya mradi
Kujua mitaa ya miji ni ngumu kidogo, ukiacha hiyo bambalaga iliyopo highway
Dodoma siifahamu,kivile
ππππ unawakumbusha kwamba hii sio size yenu.. one day na mie nitachukua chombo kisichogusika kimchezo mchezo.. ukiwa na chombo ya HP kuanzia 455 + barabarani unatembea bila wasi wasi wa kudhalilishwaAcha na mzuka wa V8 power....wapo wasiojitambua inabidi uwape reminder
Hii ni LIVE?
Chalinze nyama pale angalau kuna parking kubwaDom sehemu ya bata nayo jua na kuingia huwa ni Bambalaga na Royal .. kidogo na mndani kula manyama manyama choma
ππππ huwa mtu una enjoy sanaaa,Chalinze nyama pale angalau kuna parking kubwa
Shughuli ya nyama choma huwa inaishia hapo [emoji3]
LC V8 kubwa, nilishatumia Subaru Xsport, dar dodoma masaa manne, usiku.. nahisi nikiwa na Nissan Y62 sijui acha nikae kimya ππKweli mkuu sijui umetumia gari gani ila mfano kama LC V8 zina uwezo wa kutumia 4hrs tu from Dar to Dom ndiyo maana hata viongozi wakubwa wanaoendeshwa kwa hizi gari wana uwezo wa kuja Dar kila ijumaa jioni kuspend weekend nzima na kurudi Dom kila jumatatu asubuhi kuendelea na kazi! Wenyewe wanakuambia Dom hakujachangamka hivyo hapafai kula bata ndiyo maana wanatamani kurudi Dar!
Kuna siku Mwendazake alikuwa Mbeya na msafara wake imagine from Tukuyu to Mbeya mjini kwa gari za kawaida ni mwendo wa karibu lisaa na nusu lakini LC V8 za msafara wa Rais zilitumia nusu saa tu from Tukuyu to Mbeya! Yaani Mbeya mjini gari zote ambazo zilikuwa kwenye barabara ambayo msafara wa Rais ulitakiwa upite zilisimamishwa Mwendazake akiwa Tukuyu na baada ya nusu saa msafara ukawa umeshateremka Mbeya mjini!
Kwa sie SUV enthusiasts tunaona hapa kweli mjapan alitulia! Ndiyo maana binafsi kwa SUVs za mjep nazielewaga sana LC VXR V8 na NP Y62 V8 hizi gari huwa naziheshimu sana ni moto wa kuotea mbali!
Unaweka kimuri muri ππππ uwe kama waoWanachotushinda hao ni kupita zone za 50kph na speed zaidi ya 100kph na kuovateki popote pale. Vinginevyo tungeenda nao Sawa tu.
Duh unazijua mashine sana
Kuna feeling ya Ku own the road....Acha tuππππ unawakumbusha kwamba hii sio size yenu.. one day na mie nitachukua chombo kisichogusika kimchezo mchezo.. ukiwa na chombo ya HP kuanzia 455 + barabarani unatembea bila wasi wasi wa kudhalilishwa
Utemi barabarani una raha yake sana. Napata uvivu kuchukua E350 AMG, nataka niongeze budget niangalie gari yenye HP kubwa zaidi ya hiyo iwe benz au audi au bmw.. kadri siku zinavyo enda naona nahitaji HP za kufa mtu, ukigusa tu unanata ππKuna feeling ya Ku own the road....Acha tu
ππ wajamaa sasahivi hadi wana subaru xt,na wame weka vimuri muri.. unatupia tu ku test zariGari zetu zinapakaza inajulikana kabisa wewe sio
Nafikiri ni zile za walioitwa mafisadi walizigawa kwa taasisi mbalimbali[emoji3][emoji3] wajamaa sasahivi hadi wana subaru xt,na wame weka vimuri muri.. unatupia tu ku test zari
Ndio ndio zitakuwa hizo. Nilkshakutana nayo ikielekea mwanza, na pia dodomaNafikiri ni zile za walioitwa mafisadi walizigawa kwa taasisi mbalimbali
Jaribu zari πππππAisee!