Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kipande cha Magubike na Tabu Hotel

Nadhani ile milima iliyo pembezoni
Nilikuwa nachukua mazaga zaga ya watumishi hewa 🙂🙂

20210714_113936.jpg
 
Chombo ninacho operate hakiruhusiwi kupaki mjini, hapo hapo una king'amuzi

Hata ukipata breakdown tarura wanakufanya mradi

Kujua mitaa ya miji ni ngumu kidogo, ukiacha hiyo bambalaga iliyopo highway

Dodoma siifahamu,kivile
Dom sehemu ya bata nayo jua na kuingia huwa ni Bambalaga na Royal .. kidogo na mndani kula manyama manyama choma
 
Kweli mkuu sijui umetumia gari gani ila mfano kama LC V8 zina uwezo wa kutumia 4hrs tu from Dar to Dom ndiyo maana hata viongozi wakubwa wanaoendeshwa kwa hizi gari wana uwezo wa kuja Dar kila ijumaa jioni kuspend weekend nzima na kurudi Dom kila jumatatu asubuhi kuendelea na kazi! Wenyewe wanakuambia Dom hakujachangamka hivyo hapafai kula bata ndiyo maana wanatamani kurudi Dar!

Kuna siku Mwendazake alikuwa Mbeya na msafara wake imagine from Tukuyu to Mbeya mjini kwa gari za kawaida ni mwendo wa karibu lisaa na nusu lakini LC V8 za msafara wa Rais zilitumia nusu saa tu from Tukuyu to Mbeya! Yaani Mbeya mjini gari zote ambazo zilikuwa kwenye barabara ambayo msafara wa Rais ulitakiwa upite zilisimamishwa Mwendazake akiwa Tukuyu na baada ya nusu saa msafara ukawa umeshateremka Mbeya mjini!

Kwa sie SUV enthusiasts tunaona hapa kweli mjapan alitulia! Ndiyo maana binafsi kwa SUVs za mjep nazielewaga sana LC VXR V8 na NP Y62 V8 hizi gari huwa naziheshimu sana ni moto wa kuotea mbali!
LC V8 kubwa, nilishatumia Subaru Xsport, dar dodoma masaa manne, usiku.. nahisi nikiwa na Nissan Y62 sijui acha nikae kimya 🙃🙃
 
Back
Top Bottom