ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Bila shakaVipi kwa gari zinginr ndogo ambazo sio v8 zinaweza kutumia hiyo 4hrs dar - dom? Haswa usiku?
Hapa bado wana ubin adam
Yah! Gairo paka dumila ndio maeneo ya kununua vitu mazaga zaga ya kupeleka homeHapa bado wana ubin adam
unanunua zaga zikiwa kwenye ujazo ulio bora
Sehemu zingine kwa mfano barabara ya arusha- moshi hadi segera, utapigwa bei na ujazo pungufu
Usa-river, kwa sadala na njia panda ya himo hapafai
KabisaYah! Gairo paka dumila ndio maeneo ya kununua vitu mazaga zaga ya kupeleka home
😀😀😀😀 nimeliza trip kichaa itapaki home, itakuwa rami to rami, na ina nesa nesa kishenzi, ukipita barabara mbaya ule mneso unapiga chini hadi ukome.. siwezi pandisha hiyo gari na gari yoyote sifanyk modification maana wakati naenda nunua niliona 😀😀😀😀😀😀Gari iko chini balaa, no wonder umebomoa sump. Na hutaki kulinyanyua. Changamoto.
Sadi sana na mazaga zaga yanakuwa flesh sana kama mahindi ya dumila unatafuna unaweza ng'ata hadi vidoleKabisa
Lakini pia barabara ya TAZAM nao wauza zaga hawana roho ya kwanini, unauziwa makatapera kiroho safi[emoji3]
Kwenye vigezo na masharti ya maisha yangu, ni marufuku modification yoyote kwenye chombo cha moto 😀😀Ukinyanyua umeharibu
Hahaha tunaye dereva wetu mmoja huyo kwa safari za Dar to Dom picha linaanza kabla ya safari anachomoa plate number za serikali anapachika private! Halafu huwa tunapita ile njia ya Bagamoyo hadi Msolwa halafu hapiti Msamvu anapita ile njia ambako SGR inajengwa anaambaa na ile barabara mnakuja kushituka mko Dumila ngoma hadi Dom!Wanachotushinda hao ni kupita zone za 50kph na speed zaidi ya 100kph na kuovateki popote pale. Vinginevyo tungeenda nao Sawa tu.
Duh unazijua mashine sana
Hahaha kawaida tu mkuu! Mie gari najuaga zile vitu general na basic tu ambazo dereva yeyote anatakiwa ajue ila sijui kuzichambua kama wanavyozichambuaga watu wengine!Wewe mkali [emoji3]
Unatembea na kupita mulemule kuzichambua na kuzielezea
Upo industry hii kitambo bhas
Mimi nimeweka 1.5inch spacer. Ilikuwa inanitesa balaa.Ukinyanyua umeharibu
Daah naisubiri kwa hamu. Inshaallah tuombee uzima tu.
Aisee unasemea Royal ya kule kwa waziri mkuu! Kama ni hiyo tuko pamoja mie nakaa mitaa hiyo na pale huwa ndiyo sehemu ya karibu kwa kula bata yaani kuku wa kuchoma wa mitaa ile acha kabisa siku nikijisikia kuenda mbali basi nasogeaga Waswanu!Dom sehemu ya bata nayo jua na kuingia huwa ni Bambalaga na Royal .. kidogo na mndani kula manyama manyama choma
Nahisi nitakuwapo hapo jumapili, kama utakuwepo.. basi tutajumuika pamoja tule bata hadi asubuhi,ikiwezekana tuna switch tu viwanja.. 😀😀Aisee unasemea Royal ya kule kwa waziri mkuu! Kama ni hiyo tuko pamoja mie nakaa mitaa hiyo na pale huwa ndiyo sehemu ya karibu kwa kula bata yaani kuku wa kuchoma wa mitaa ile acha kabisa siku nikijisikia kuenda mbali basi nasogeaga Waswanu!
Hahaha watakukoma siyoLC V8 kubwa, nilishatumia Subaru Xsport, dar dodoma masaa manne, usiku.. nahisi nikiwa na Nissan Y62 sijui acha nikae kimya [emoji854][emoji854]
Sanaaa watanyooka tu 😀😀😀 ni mwendo wa ku switch viwanja vyote vyenye vibe la maana, tena nzuri huwa kati ya jumamosi na ijumaaa.. sio unakaa sehemu moja.. zamani hiyo unanikumbusha mnaanza vibe Singida alafu mnaenda malizia dodoma usiku usiku kesho yake mnarudi .. hili la siku hiyo tubadirishe viwanja vyote vyenye vibe la hatariHahaha watakukoma siyo
Kwa gari ndogo ambazo hazitumii V8 sijui mkuuVipi kwa gari zinginr ndogo ambazo sio v8 zinaweza kutumia hiyo 4hrs dar - dom? Haswa usiku?
Hahaa kuna watu wana allergy na Low speedChuma chake kinatembea
Anakitembeza sana.
Yeye anakwambia hajatembea kabisa[emoji1787]
ISO M.CodD [emoji4][emoji120][emoji120]View attachment 1855043
Ma big broo mbwe mbwe.. hamna kitu, kuna big bro mmoja nilimchapa na subaru pale ulimata ufundi nilimchakataza hakuamini😀😀Uko vizuri mkuu. Natumia Nissan Fuga 350XV.
3.5L V6
Hao mabig bro nakula nao sahani moja mwanzo mpaka mwisho wa safari. Watanizidi kwa kufukia matuta tu. Au kama wakitembea zaidi ya 180 kwa muda mrefu, maana I am limited to 180kmph nikiwa 4000rpm