Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nilikuwa nachukua mazaga zaga ya watumishi hewa [emoji846][emoji846]

View attachment 1854970
Hapa bado wana ubin adam
unanunua zaga zikiwa kwenye ujazo ulio bora

Sehemu zingine kwa mfano barabara ya arusha- moshi hadi segera, utapigwa bei na ujazo pungufu

Usa-river, kwa sadala na njia panda ya himo hapafai
 
Gari iko chini balaa, no wonder umebomoa sump. Na hutaki kulinyanyua. Changamoto.
😀😀😀😀 nimeliza trip kichaa itapaki home, itakuwa rami to rami, na ina nesa nesa kishenzi, ukipita barabara mbaya ule mneso unapiga chini hadi ukome.. siwezi pandisha hiyo gari na gari yoyote sifanyk modification maana wakati naenda nunua niliona 😀😀😀😀😀😀
 
Wanachotushinda hao ni kupita zone za 50kph na speed zaidi ya 100kph na kuovateki popote pale. Vinginevyo tungeenda nao Sawa tu.
Duh unazijua mashine sana
Hahaha tunaye dereva wetu mmoja huyo kwa safari za Dar to Dom picha linaanza kabla ya safari anachomoa plate number za serikali anapachika private! Halafu huwa tunapita ile njia ya Bagamoyo hadi Msolwa halafu hapiti Msamvu anapita ile njia ambako SGR inajengwa anaambaa na ile barabara mnakuja kushituka mko Dumila ngoma hadi Dom!

Tunatoka Dar saa 10 alfajiri tunafika Dom saa 2 asubuhi na hamna aliyechoka! Jamaa anakimbiza halafu kama kuna tuta anapigia brake hapo hapo karibu na tuta mnarushwa kidogo humo ndani ya gari kisha safari inaendelea cha muhimu mfunge mikanda tu maana brake anazopiga mkikaa vibaya mtajigonga hadi akili ziwakae sawa!

Huwa hasimamishwi na matraffic hovyo hovyo na hata akisimamishwa lazima achomoke bila kutoa hata kumi! Lakini ukiachana na vimbwanga vyake jamaa yuko vizuri na makini sana hasa kwenye sector ya kuovertake!
 
Dom sehemu ya bata nayo jua na kuingia huwa ni Bambalaga na Royal .. kidogo na mndani kula manyama manyama choma
Aisee unasemea Royal ya kule kwa waziri mkuu! Kama ni hiyo tuko pamoja mie nakaa mitaa hiyo na pale huwa ndiyo sehemu ya karibu kwa kula bata yaani kuku wa kuchoma wa mitaa ile acha kabisa siku nikijisikia kuenda mbali basi nasogeaga Waswanu!
 
Aisee unasemea Royal ya kule kwa waziri mkuu! Kama ni hiyo tuko pamoja mie nakaa mitaa hiyo na pale huwa ndiyo sehemu ya karibu kwa kula bata yaani kuku wa kuchoma wa mitaa ile acha kabisa siku nikijisikia kuenda mbali basi nasogeaga Waswanu!
Nahisi nitakuwapo hapo jumapili, kama utakuwepo.. basi tutajumuika pamoja tule bata hadi asubuhi,ikiwezekana tuna switch tu viwanja.. 😀😀
 
Hahaha watakukoma siyo
Sanaaa watanyooka tu 😀😀😀 ni mwendo wa ku switch viwanja vyote vyenye vibe la maana, tena nzuri huwa kati ya jumamosi na ijumaaa.. sio unakaa sehemu moja.. zamani hiyo unanikumbusha mnaanza vibe Singida alafu mnaenda malizia dodoma usiku usiku kesho yake mnarudi .. hili la siku hiyo tubadirishe viwanja vyote vyenye vibe la hatari
 
Uko vizuri mkuu. Natumia Nissan Fuga 350XV.

3.5L V6

Hao mabig bro nakula nao sahani moja mwanzo mpaka mwisho wa safari. Watanizidi kwa kufukia matuta tu. Au kama wakitembea zaidi ya 180 kwa muda mrefu, maana I am limited to 180kmph nikiwa 4000rpm
Ma big broo mbwe mbwe.. hamna kitu, kuna big bro mmoja nilimchapa na subaru pale ulimata ufundi nilimchakataza hakuamini😀😀
 
Back
Top Bottom