ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Hahaha mkuu umenilia timing wakati sipo ukatwanga photo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chuma chake kinatembea
Anakitembeza sana.
Yeye anakwambia hajatembea kabisa[emoji1787]
ISO M.CodD [emoji4][emoji120][emoji120]View attachment 1855043
Shukrani mkuuIdumu Road trip,idumu JF... ISO M.CodD umetisha
Karibu boss mremboAmenitembeza Daslam .
Wa mkoani nimeshangaa magorofa hadi shingo inaniuma Sasa[emoji1787].
Amenisaidia Sana kunipeleka kwenye miwani [emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohh kwa sedan za Nissan hizo Fuga ndiyo naona ziko vizuri. Ni kama ninavyoziona Crown Majesta kwa sedan za Toyota.Uko vizuri mkuu. Natumia Nissan Fuga 350XV.
3.5L V6
Hao mabig bro nakula nao sahani moja mwanzo mpaka mwisho wa safari. Watanizidi kwa kufukia matuta tu. Au kama wakitembea zaidi ya 180 kwa muda mrefu, maana I am limited to 180kmph nikiwa 4000rpm
Alikutumia kama pace maker, hakuwa na haraka. Kampani inasaidia sana sometimes.Kuna siku nilikua na gari ya knyongee kutokea moro kwenda dar katika kupambana kuyakata mabasi n maroli ghafla nyuma ikatokea crown kwangu ilikua ni gari Bora kulinganisha n niliyo kua naendesha. Ila nilishNgazwa na huyu mwenye crown nikitoa nae anatoa nikirudi nae anarudi mbele pakiwa peupe hanipiti. Yupo tu nyuma. Nilikuja kumuacha vigwaza niliyakata maroli matatu yeye aka nasa huko katikati ya maroli. Wakati mwingine gari inaweza ikawa Bora ila muongozaji wa gari mnyonge.
Ndio competitors haoOohh kwa sedan za Nissan hizo Fuga ndiyo naona ziko vizuri. Ni kama ninavyoziona Crown Majesta kwa sedan za Toyota.
Kwa sasa sipo huko mkuu ila siku tukiwepo wote huko nitakutafutaNahisi nitakuwapo hapo jumapili, kama utakuwepo.. basi tutajumuika pamoja tule bata hadi asubuhi,ikiwezekana tuna switch tu viwanja.. [emoji3][emoji3]
Chuma chake kinatembea
Anakitembeza sana.
Yeye anakwambia hajatembea kabisa[emoji1787]
ISO M.CodD [emoji4][emoji120][emoji120]View attachment 1855043
😀😀😀 ikija tokeaga tu, hapa ije tu itokee zari kipindi upo doma na mie niwepoKwa sasa sipo huko mkuu ila siku tukiwepo wote huko nitakutafuta
Yeah hilo vibe muhimu mkuuSanaaa watanyooka tu [emoji3][emoji3][emoji3] ni mwendo wa ku switch viwanja vyote vyenye vibe la maana, tena nzuri huwa kati ya jumamosi na ijumaaa.. sio unakaa sehemu moja.. zamani hiyo unanikumbusha mnaanza vibe Singida alafu mnaenda malizia dodoma usiku usiku kesho yake mnarudi .. hili la siku hiyo tubadirishe viwanja vyote vyenye vibe la hatari
😀😀😀😀 site morror dah! Noma sanaaaaa huwa nacheka sana.. member wengi wanajua ni siteSide mirror....
Make me happy then...you what i mean!
😀😀😀😀 site morror dah! Noma sanaaaaa huwa nacheka sana.. member wengi wanajua ni site
Month end lets go to Tanga....Tanga beach resort not bad to soothe your mind!
Unaendeleaje??Side mirror....
Asante[emoji4]Karibu boss mrembo