Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Uko vizuri mkuu. Natumia Nissan Fuga 350XV.

3.5L V6

Hao mabig bro nakula nao sahani moja mwanzo mpaka mwisho wa safari. Watanizidi kwa kufukia matuta tu. Au kama wakitembea zaidi ya 180 kwa muda mrefu, maana I am limited to 180kmph nikiwa 4000rpm
Oohh kwa sedan za Nissan hizo Fuga ndiyo naona ziko vizuri. Ni kama ninavyoziona Crown Majesta kwa sedan za Toyota.
 
Kuna siku nilikua na gari ya knyongee kutokea moro kwenda dar katika kupambana kuyakata mabasi n maroli ghafla nyuma ikatokea crown kwangu ilikua ni gari Bora kulinganisha n niliyo kua naendesha. Ila nilishNgazwa na huyu mwenye crown nikitoa nae anatoa nikirudi nae anarudi mbele pakiwa peupe hanipiti. Yupo tu nyuma. Nilikuja kumuacha vigwaza niliyakata maroli matatu yeye aka nasa huko katikati ya maroli. Wakati mwingine gari inaweza ikawa Bora ila muongozaji wa gari mnyonge.
Alikutumia kama pace maker, hakuwa na haraka. Kampani inasaidia sana sometimes.
 
Sanaaa watanyooka tu [emoji3][emoji3][emoji3] ni mwendo wa ku switch viwanja vyote vyenye vibe la maana, tena nzuri huwa kati ya jumamosi na ijumaaa.. sio unakaa sehemu moja.. zamani hiyo unanikumbusha mnaanza vibe Singida alafu mnaenda malizia dodoma usiku usiku kesho yake mnarudi .. hili la siku hiyo tubadirishe viwanja vyote vyenye vibe la hatari
Yeah hilo vibe muhimu mkuu
 
Back
Top Bottom