Kwa jinsi ninavyoendesha, sedan hainifai.Yes you are right 100% mkuu. Hapo tu ndio pasua kichwa
Hiyo labda mwakani mwishoni kabisa.Jipige pige uchukua chuma hiyo, itakufaa sana , bei haijaamka sana na TRA wamepoa. BMW M5 nazielewa sanaa
😀😀😀😀 unakambeleza ka gari hadi wa nyuma anaona unazingua unaanza kula honi.. unampisha apite, dk 2 nyingi unamlaza na viatuKwa jinsi ninavyoendesha, sedan hainifai.
Ukute matuta makubwa inabidi uanze kupanda tuta upande upande.
Naona kama napoteza muda.
Ipo kwenye list yangu ya manunuzi kwa mwakani piaHiyo labda mwakani mwishoni kabisa.
Sahivi hapana.
Ukiwa na M5 hakuna kiumbe barabarani atakaekusumbua.
Jizazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi utusamehe.... anything less than 140 kwetu hatuhesabu kama spidi
Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila sijatembea kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Basi mama enough is enough hizo kaa nazo [emoji23][emoji23]
Zinahitaji patience mkuu. Tuachie wenyewe [emoji23]Kwa jinsi ninavyoendesha, sedan hainifai.
Ukute matuta makubwa inabidi uanze kupanda tuta upande upande.
Naona kama napoteza muda.
Iache
Mie napenda sana live band Royal Village/Ngalawa Bar hapo weekends, kijiwe safi kabisaAisee unasemea Royal ya kule kwa waziri mkuu! Kama ni hiyo tuko pamoja mie nakaa mitaa hiyo na pale huwa ndiyo sehemu ya karibu kwa kula bata yaani kuku wa kuchoma wa mitaa ile acha kabisa siku nikijisikia kuenda mbali basi nasogeaga Waswanu!
Aaah! Burdan muhimu sanaMie napenda sana live band Royal Village/Ngalawa Bar hapo weekends, kijiwe safi kabisa
Waswanu pale kwa mdudu marhabaa pia kuna mbege pale[emoji39]Aisee unasemea Royal ya kule kwa waziri mkuu! Kama ni hiyo tuko pamoja mie nakaa mitaa hiyo na pale huwa ndiyo sehemu ya karibu kwa kula bata yaani kuku wa kuchoma wa mitaa ile acha kabisa siku nikijisikia kuenda mbali basi nasogeaga Waswanu!
Ndivyo tunavyofanya, vigwaza mizani nikalitoa maana gari zilikuwa nyingi za kunimulikia nyuma[emoji3]
Paka pori....😂😂😂Ndivyo tunavyofanya, vigwaza mizani nikalitoa maana gari zilikuwa nyingi za kunimulikia nyuma[emoji3]
Tatizo likaanzia kibamba, nilipanda na nne wa nyuma nadhani alishoot down distance ikawa kubwa, pakapori wakadandia, uzuri nilikuwa makini[emoji1787]
😀😀😀😀 nilikuwa nawatafuta wadau wa trip walio poa.. kuna raha ya safari ukiwa na company inayokupa raha ya moyoniMkuu imekuwaje ukarudi page ya kwanza?!!😳