Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aisee unasemea Royal ya kule kwa waziri mkuu! Kama ni hiyo tuko pamoja mie nakaa mitaa hiyo na pale huwa ndiyo sehemu ya karibu kwa kula bata yaani kuku wa kuchoma wa mitaa ile acha kabisa siku nikijisikia kuenda mbali basi nasogeaga Waswanu!
Mie napenda sana live band Royal Village/Ngalawa Bar hapo weekends, kijiwe safi kabisa
 
Wigelekelo chukua ufundi
IMG_20210716_084826_1.jpg
 
Back
Top Bottom