Nilishawahi mshauri Mr kuhusu hii ndinga, alichonijibu sasa [emoji23][emoji23][emoji23] daaaah.Miaka mitano, nitakuwa nachapa trip na hii chomboo wakuu zangu [emoji846][emoji846][emoji846] ndio mambo niyapendayo hayaaa..
View attachment 1856184View attachment 1856185View attachment 1856186View attachment 1856187View attachment 1856188View attachment 1856189View attachment 1856190
Ewaaah muonekano uko mukide shikide. [emoji23][emoji23]Toyota wameamua kuwa serious.....Wameamka usingizini..big up kwa designer..[emoji123][emoji123]View attachment 1857517
Bibi wapi hiyooooh.
Alijibuje 😎Nilishawahi mshauri Mr kuhusu hii ndinga, alichonijibu sasa [emoji23][emoji23][emoji23] daaaah.
Mkuu kiamshe na mahala pa karibuKukaa mahala pamoja inachosha sn[emoji848]
Au nasema uongo ndugu zng?
Iko chini mno km kitorori, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alijibuje [emoji41]
Ni kweli ipo chini sana, hiyo inatufaa sie tunao ishi Japana, no tuta no barabara mbaya 😎.. nyie huko madongo kuinamana hizi haziwafaiIko chini mno km kitorori, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imekaa kinunda sana
Kumbe kuna Kona Kona kutoka gairo hadi dumila?duuh masaa ma4, mnakua na msafara kwamba njia nyeupe au? maana kona kona za kutoka gairo hadi dumila plus ubovu wa barabara unawezaje kukimbia hivyo tena gari yenyewe subaru.
Wakati pale huwa tuna kunja goti hadi dodoma town.. nikisha ingia gairo kimahesabu Dom ipo mkononi.Kumbe kuna Kona Kona kutoka gairo hadi dumila?
Hiki kioo hakijawahi kukuzawadia cheti?240 Km + vumbi mwanzo mwisho. Wazee wa rough road tunagonga shimo.
View attachment 1857958
Bila shaka mkuu, nimekusoma mwana mboka
😀😀😀😀Bila shaka mkuu, nimekusoma mwana mboka
Kwenye hizi barabara kioo kuwa hivi kawaida ,hata wale jamaa wanalitambua hili.Hiki kioo hakijawahi kukuzawadia cheti?