yaramazlik
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 174
- 251
mkuu kuna a lot of corners zenye blind spot au sisi wengine tunapita njia tofauti?Kumbe kuna Kona Kona kutoka gairo hadi dumila?
mkuu goti ni from gairo to dodoma hio nakubaliana nalo huku ukiombea usikutane na trekra zisizo na tail lights.Wakati pale huwa tuna kunja goti hadi dodoma town.. nikisha ingia gairo kimahesabu Dom ipo mkononi.
mkuu goti ni from gairo to dodoma hio nakubaliana nalo huku ukiombea usikutane na trekra zisizo na tail lights.
Nguvu unazotumia kuendesha gari usiku ni mara mbili ya nguvu utakazotumia mchana....!!!Usiku una watu wake....
Mafuta ya breki yamekwisha au Kuna ttzo ktk mfumo wake?
Kabla ya hii trip nimesolve taa zote za dashboard.
Check engine ilikuwa kwasababu ya post-cat heated oxygen sensor. Gari ilivyokuwa chini inaonekana ilipiga ardhi pale connector harness ya sensor pakapasuka na waya kukatwa. New sensor nikaclear code kwa kale ka mashine kangu ka $10 check engine haijarudi tena
Fuga zina ujinga mmoja kukiwa na weakness yoyote kwenye braking system ina disable traction control, wanaita VDC (Vehicle Dynamic Control) na kuwasha taa za VDC OFF na SLIP. Ikiwa kwenye hii situation ukikanyaga hovyo linadrift na kuteleza, though its fun [emoji23][emoji23]. Nilicheki pads ziko fresh, kumbe mafuta ya breki yalikuwa nusu - hata sio low. Kujazia mpaka kwenye max taa zikazima after some driving.
Gari ikiwa na clean dashboard inaleta imani kidogo, sio christmas lights kama za wajerumani Cc Extrovert
Usimalize kisahani usiku.Nguvu unazotumia kuendesha gari usiku ni mara mbili ya nguvu utakazotumia mchana....!!!
Jambo la muhimu sana usiku ni Taa, na uwe unaijua barabara, isiwe ngeni kabisa kwako...
Kama ni barabara ngeni, uwe na mtu pembeni anakusomea vibao vyote, wakati we umemaliza kisahani.
Icheki mkuu inawesa kuwa kitu kidogo sanaMm nahili tatizo la break sasa hivi dashboard kama Christmas tree
Ndio hiyo, ukimaliza tu huu mlima unaingia Bashnet. Ziwa la chumvi linaonekana kwenye hiyo picha niliyotuma.
Jana wakati natoka arusha kuja dar nimekanyaga accelerator mpaka kisigino kikafa ganzi.
Njia Panda mpaka Mombo nimetembea 140 - 150. Napunguza kupanda tuta au kwenye kona.
Segera to Dar nimetembea 100 - 120.
Niliondoka Arusha saa 6 mchana nimeingia dar saa 2.00 usiku.
Lucky enough sikusimamishwa na polisi.
Babati huko mkuu. Dareda unakatiza unaingia ndani ndani njia ya kuelekea DongoBesh.Wapi huko?
Na kweli kabisaaah, [emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli ipo chini sana, hiyo inatufaa sie tunao ishi Japana, no tuta no barabara mbaya [emoji41].. nyie huko madongo kuinamana hizi haziwafai
Kimeumanaaaaah.
Mimi nilitukia masaa ma 5 kutoka Dodoma mpk Dar nikiwa kill timeduuh masaa ma4, mnakua na msafara kwamba njia nyeupe au? maana kona kona za kutoka gairo hadi dumila plus ubovu wa barabara unawezaje kukimbia hivyo tena gari yenyewe subaru.