Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Niliwahi kupewa lift siti ya nyuma kwenye v8,....kuna watu wanafaidi kodi zetu.. [emoji13][emoji39][emoji39]Ila acha tu....ukiendesha au ukipanda ile midude unajisikia tofauti....
Pengine hangover au wivu unamtesa...Jamaa kalewa yule na kama hajalewa basi yupo na hangover maana sio kwa muandiko ule.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Duh wapi hii?!
Ziwa la lake victoria hili 😆😆Duh wapi hii?!
Room zake ni baraa sasa.. hata kama ulienda mmoja.. unaweza jikuta unafanya harakati za vitani 😃😃😃[emoji7][emoji7]
Hii place for two[emoji28]
Hatari sana
Beautiful view 💚💚
Panafaaa sanaaa 🥰😍🤩.. huwa tunazima simu kwanza hapo ..Beautiful view 💚💚
Panapendezea kwa baecation 😂
Eneo kama ilo kwanini sasa simu ziwe on?Panafaaa sanaaa 🥰😍🤩.. huwa tunazima simu kwanza hapo ..
😀😀😀😀 nikuoneshe na za chumbani 🤣🤣🤣🤣.. hapo namba private ile ya siri tu ndio inakiwa on..mwendo wa mabusu mabusu na malove ukitoka hapo unakuwa mpya.. nahisi hapa sio mahala pake.. ila hizi picha ni matokeo ya trip ..Eneo kama ilo kwanini sasa simu ziwe on?
Hapo ni wewe tu na yeye.
Duh hiki kijiwe watatuchoka 😂weekends are for short road tripsView attachment 1865177
Daah hiki kijiwe ni wapi bro...nina muda sijafanya safari yoyoteDuh hiki kijiwe watatuchoka [emoji23]
Mrembo
Hahahahah ile mashine acha tu, humphrey polepole wakati anaropoka alilewa uroda wa Landcruiser V8!Niliwahi kupewa lift siti ya nyuma kwenye v8,....kuna watu wanafaidi kodi zetu.. [emoji13][emoji39][emoji39]
Nafikishwa home, natamani safari iendelee
Hii nchi nzuri sanaZiwa la lake victoria hili 😆😆View attachment 1865076