Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
😀😀😀😀😀 Upo vizuri pia sanaaa..Kweli Mwalimu nimejifunza kwa mfano [emoji120]
Nikafuta machozi, mbele ninaendelea.
Yale mahubiri uliyonihubiria naona umeyafanya kwa vitendo,,hiyo ndiyo Imani Sasa[emoji106]
Ila kiwango Cha Imani yako bado sijakikaribia japo robo[emoji4][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app