Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
hata sijaona mpenziNdiyo ndiyo boss.
Japo niliona imeleta changamoto,alimtafuta Hornet kuhusu gari ila hakumtag Wala kuquote..
Hornet sidhani kama aliona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata sijaona mpenziNdiyo ndiyo boss.
Japo niliona imeleta changamoto,alimtafuta Hornet kuhusu gari ila hakumtag Wala kuquote..
Hornet sidhani kama aliona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, JF ina kila aina ya watu.Jf ina watu wema sana....ubahatike tu kukutana nao.
Alikuwa anataka gari,watu wakamshauri akutafute wewe Unaweza ukamsaidia..hata sijaona mpenzi
ooh asante nadhani niliwasiliana nae PMAlikuwa anataka gari,watu wakamshauri akutafute wewe Unaweza ukamsaidia..
Sasa alikuandikia ujumbe pasi na kukutag,na comments zilivyo nyingi humu si rahisi kuona haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
D4D na mikonge nilishaitoa kwenye list ya gari za kufanya nazo ligi.Mtaani wanadanganya D4D inakimbia sana, juzi Moro-Dar huyu ndio alinifanya nivunje ahadi yangu ya kutembea chini ya 140kph, aliniletea dharau eneo hatarishi, alivyopita niliungurumisha 4GR nikampita kama kasimama!
Ha ha ha wewe unawajua vizuri, mimi siku nyingi najua hamna kitu hapo ila nahisi wao wenyewe hawajui sasa akileta dharau ndio unamuonesha kuwa hajui kama hajui.D4D na mikonge nilishaitoa kwenye list ya gari za kufanya nazo ligi.
D4D za RAC hizi zina vurugu sana njia ya Dar Dom wanapojenga reli yao. Ligi nao haikai hata dakika 5 nishapotea, nikajua hamna magari mle.
Sasa, tembea!Kibao kizuri kuliko vyote barabarani
View attachment 1865150
Yale madude yana mzuka sana...[emoji39][emoji1][emoji1]Hahahahah ile mashine acha tu, humphrey polepole wakati anaropoka alilewa uroda wa Landcruiser V8!
Kuna gari ukipanda hutamani kushuka[emoji28]!Nakumbuka nilikaa kushoto kwenye prado j120 lenye air suspension na full mufindi ile burudani yake tu ni balaa! Nikawaza hivi V8 itakuwaje kama Prado tu ni hivi?
V8 lina vibe Moja hatari, mwaka juzi nilikuwa mkoani jamaa yangu Gereji yake huwa anapiga service gari za serikali na taasisi mbalimbali. Kuna Moja ilikuwa imeua nozzles baada ya kufunga akanipa tufanye test V8 inaleta burudani kwa dereva na abiria.Hahahahah ile mashine acha tu, humphrey polepole wakati anaropoka alilewa uroda wa Landcruiser V8!
Kuna gari ukipanda hutamani kushuka😅!Nakumbuka nilikaa kushoto kwenye prado j120 lenye air suspension na full mufindi ile burudani yake tu ni balaa! Nikawaza hivi V8 itakuwaje kama Prado tu ni hivi?
Hapo ni tyre tu.Shida ni barabara au aina ya tairi zinazotumika kufika top speed?View attachment 1866782
Shida ni tairi kuwa zimefikia ukomo wake wa Kasi au mudaShida ni barabara au aina ya tairi zinazotumika kufika top speed?View attachment 1866782
Beautiful [emoji39][emoji39]
Shida ni barabara au aina ya tairi zinazotumika kufika top speed?View attachment 1866782