Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mtaani wanadanganya D4D inakimbia sana, juzi Moro-Dar huyu ndio alinifanya nivunje ahadi yangu ya kutembea chini ya 140kph, aliniletea dharau eneo hatarishi, alivyopita niliungurumisha 4GR nikampita kama kasimama!
D4D na mikonge nilishaitoa kwenye list ya gari za kufanya nazo ligi.

D4D za RAC hizi zina vurugu sana njia ya Dar Dom wanapojenga reli yao. Ligi nao haikai hata dakika 5 nishapotea, nikajua hamna magari mle.
 
D4D na mikonge nilishaitoa kwenye list ya gari za kufanya nazo ligi.

D4D za RAC hizi zina vurugu sana njia ya Dar Dom wanapojenga reli yao. Ligi nao haikai hata dakika 5 nishapotea, nikajua hamna magari mle.
Ha ha ha wewe unawajua vizuri, mimi siku nyingi najua hamna kitu hapo ila nahisi wao wenyewe hawajui sasa akileta dharau ndio unamuonesha kuwa hajui kama hajui.
 
Hahahahah ile mashine acha tu, humphrey polepole wakati anaropoka alilewa uroda wa Landcruiser V8!

Kuna gari ukipanda hutamani kushuka[emoji28]!Nakumbuka nilikaa kushoto kwenye prado j120 lenye air suspension na full mufindi ile burudani yake tu ni balaa! Nikawaza hivi V8 itakuwaje kama Prado tu ni hivi?
Yale madude yana mzuka sana...[emoji39][emoji1][emoji1]
Ndiyo maana tukilia tozo, wao hawawazi..
 
Hahahahah ile mashine acha tu, humphrey polepole wakati anaropoka alilewa uroda wa Landcruiser V8!

Kuna gari ukipanda hutamani kushuka😅!Nakumbuka nilikaa kushoto kwenye prado j120 lenye air suspension na full mufindi ile burudani yake tu ni balaa! Nikawaza hivi V8 itakuwaje kama Prado tu ni hivi?
V8 lina vibe Moja hatari, mwaka juzi nilikuwa mkoani jamaa yangu Gereji yake huwa anapiga service gari za serikali na taasisi mbalimbali. Kuna Moja ilikuwa imeua nozzles baada ya kufunga akanipa tufanye test V8 inaleta burudani kwa dereva na abiria.

Ile ya Diesel yenye 1Vd-fte kila ukikanyaga inaleta hamasa na kwenye mashimo unapiga kwa kujiami ndio gari pekee linalopiga shimo na ukimaliza safari huwazi.
 
Shida ni barabara au aina ya tairi zinazotumika kufika top speed?
IMG_20210724_221120.jpg
 
Back
Top Bottom