Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hii trip ya hapa vipi? Any experience? Vibe lake linabamba? Nataka kuijaribu

Kwa miaka yangu ya hapa duniani ndio kwanza nimeona train ya abiria kwa macho hivii last week. 😂
Jamaniii nilijisikia kiraha flani hivi ngumu kuelezea. Nimetamani sana kuijaribu.

IMG_20210726_202819_656.jpg
 
Kusafiri sio utajiri ni hoby tu, so ukigundua unapenda kusafiri unajipanga walau kwa mwaka usafiri mara moja hata kwa siku 15 mdogomdogo hata usiende kutalii basi uwe unabadili mazingira, hata ukila nyama choma inatosha kabisa kikubwa mind yako inarelax
 
Nimeona rally tz imeanzishwa wazee
Kuna mtu anaelewa haya makitu unajiungaje?
Je kuna categories za racers
Cost? Je kuna low class na high class racers au changanyikeni?

Ah wazee mliokua strict na uzi mtanisamehe😂😂
Kwani rally nayo si road trip tu?
Ila fast roadtrip?
 
Kuna muuza matairi mmoja aliniambia tairi zilizoexpire unaweza shangaa Ile sehemu inayokanyaga barabara inabanduka nzimanzima kunabaki pembeni na ndio kilichotokea kwenye hizo gari
Yah tairi za hivyo gana linakuwa gumu linamomonyoka kadri gari inavyokimbia utashangaa kama halijachanika basi litaonesha waya
 
Hii trip ya hapa vipi? Any experience? Vibe lake linabamba? Nataka kuijaribu

Kwa miaka yangu ya hapa duniani ndio kwanza nimeona train ya abiria kwa macho hivii last week. 😂
Jamaniii nilijisikia kiraha flani hivi ngumu kuelezea. Nimetamani sana kuijaribu.

View attachment 1869372
Usafiri wa train enzi hizo.. sijui siku hizi
 
Back
Top Bottom