Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG_6785.jpg

Leo Chalinze Moro ni foleni kali sana, lori la mafuta limeungua
 
Siku moja nimekuta tairi imelala pancha. Kuangalia mkunjo wa pancha tairi limejaa cracks balaa. Nikavua yote manne yalikuja na gari.
Hizi cracks tairi ikiwa na upepo huwezi kuziona kabisa na tairi kashata zimejaa kabisa.
Hapo ni aheri kujiwahi maana dah! Tyre za kuja na gari ni very dangerous hasa kwa gari zetu hizi za 10 years ago!
 
Back
Top Bottom