Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duh wapi hii?!
00000IMG_00000_BURST20200710124510499_COVER.jpg
 
Eneo kama ilo kwanini sasa simu ziwe on?

Hapo ni wewe tu na yeye.
😀😀😀😀 nikuoneshe na za chumbani 🤣🤣🤣🤣.. hapo namba private ile ya siri tu ndio inakiwa on..mwendo wa mabusu mabusu na malove ukitoka hapo unakuwa mpya.. nahisi hapa sio mahala pake.. ila hizi picha ni matokeo ya trip ..
 
Niliwahi kupewa lift siti ya nyuma kwenye v8,....kuna watu wanafaidi kodi zetu.. [emoji13][emoji39][emoji39]
Nafikishwa home, natamani safari iendelee
Hahahahah ile mashine acha tu, humphrey polepole wakati anaropoka alilewa uroda wa Landcruiser V8!

Kuna gari ukipanda hutamani kushuka😅!Nakumbuka nilikaa kushoto kwenye prado j120 lenye air suspension na full mufindi ile burudani yake tu ni balaa! Nikawaza hivi V8 itakuwaje kama Prado tu ni hivi?
 
Back
Top Bottom