Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Arusha is super congested.

Mji umekuwa wa hovyo sana huu.

Barabara finyu, magari mengi.

Machinga kila kona.
Labda kwa sababu ya hizi sikukuu wachaga wamerudi sana makwao! Machinga wanaokera ni wale wa Friends corner ikifka jioni jioni.

Barabara ipi finyu? Arusha ina four ways kwa baadhi ya barabara, wapi palikufinya?
 
Kuna kiwanja kipya kipo Njiro Pepsi, pembeni kidogo ya village supermarket. Hiko sahii ndio habari ya mjini ila nimekisahau jina.

Orlando garden - Sakina Raskazone, swimming, parking nzuri, indoor bar ya utulivu ila panachangamka sanaa kukiwa na mpira na pia wana bar ya nje so ni wewe tu uchague kukaa ndani or nje.

Bill's river town, kinabamba somehow ila tatizo panajaza sana.

The Don - mitaa ya breweries ' Njiro.
Triple A Mianzini pazuri kwa live band na sikukuu hizi lazima walete msanii.
Masai Land - Sakina kwa Eid nako pazuri kuchill, kunywa na kuogelea.
Njooy lounge kuchill, kunywa na makange mazuriii.
Mulberry.
The picnic kama wapendelea kucheza pool table, kunywa ila pana wale dada zetu walee.
Washington Bar, chini ya mti hapo kuna nyama sana. Nk nk
 
Asante sana
 
Safi kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…