Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kwenda wap?Naomba lift
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda wap?Naomba lift
Duh kama ni hivyo pamekosa ladha sasa!!!Duh moshi-Arusha imenichukua 3hrs!
Nenda Orlando ni mixer ukitaka vibes utalipata na ukitaka utulivu pia upo,ample parking + swimming poolVyote
Labda kwa sababu ya hizi sikukuu wachaga wamerudi sana makwao! Machinga wanaokera ni wale wa Friends corner ikifka jioni jioni.Arusha is super congested.
Mji umekuwa wa hovyo sana huu.
Barabara finyu, magari mengi.
Machinga kila kona.
Duh!Duh moshi-Arusha imenichukua 3hrs!
Arusha inavutiaNimetokea kupachukia arusha.
Hapavutii tena.
Kuna kiwanja kipya kipo Njiro Pepsi, pembeni kidogo ya village supermarket. Hiko sahii ndio habari ya mjini ila nimekisahau jina.Vyote
Asante sanaKuna kiwanja kipya kipo Njiro Pepsi, pembeni kidogo ya village supermarket. Hiko sahii ndio habari ya mjini ila nimekisahau jina.
Orlando garden - Sakina Raskazone, swimming, parking nzuri, indoor bar ya utulivu ila panachangamka sanaa kukiwa na mpira na pia wana bar ya nje so ni wewe tu uchague kukaa ndani or nje.
Bill's river town, kinabamba somehow ila tatizo panajaza sana.
The Don - mitaa ya breweries ' Njiro.
Triple A Mianzini pazuri kwa live band na sikukuu hizi lazima walete msanii.
Masai Land - Sakina kwa Eid nako pazuri kuchill, kunywa na kuogelea.
Njooy lounge kuchill, kunywa na makange mazuriii.
Mulberry.
The picnic kama wapendelea kucheza pool table, kunywa ila pana wale dada zetu walee.
Washington Bar, chini ya mti hapo kuna nyama sana. Nk nk
Safi kabisaaaKuna kiwanja kipya kipo Njiro Pepsi, pembeni kidogo ya village supermarket. Hiko sahii ndio habari ya mjini ila nimekisahau jina.
Orlando garden - Sakina Raskazone, swimming, parking nzuri, indoor bar ya utulivu ila panachangamka sanaa kukiwa na mpira na pia wana bar ya nje so ni wewe tu uchague kukaa ndani or nje.
Bill's river town, kinabamba somehow ila tatizo panajaza sana.
The Don - mitaa ya breweries ' Njiro.
Triple A Mianzini pazuri kwa live band na sikukuu hizi lazima walete msanii.
Masai Land - Sakina kwa Eid nako pazuri kuchill, kunywa na kuogelea.
Njooy lounge kuchill, kunywa na makange mazuriii.
Mulberry.
The picnic kama wapendelea kucheza pool table, kunywa ila pana wale dada zetu walee.
Washington Bar, chini ya mti hapo kuna nyama sana. Nk nk
Aisee! Yaani hio BMW X3 ndio gari, Nyingine vyombo vya usafiri?!!View attachment 1658552
View attachment 1658553
Hongereni wote mliosafiri na mnaosafiri fikeni salama na mrejee salama