East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuingia na kutoka mjini ni nightmare.Labda kwa sababu ya hizi sikukuu wachaga wamerudi sana makwao! Machinga wanaokera ni wale wa Friends corner ikifka jioni jioni.
Barabara ipi finyu? Arusha ina four ways kwa baadhi ya barabara, wapi palikufinya?
View attachment 1658552
View attachment 1658553
Hongereni wote mliosafiri na mnaosafiri fikeni salama na mrejee salama
Hii bike mkononi naweza kupata kwa Tzs ngapi?Kwenye mafuta ipo vizuri Sana.
Mimi kwenye bike napenda iwe na mfumo wa valve 4 kwenye injini,sio kama hizi tulizoea zenye valve 2 (inlet 1, exhaust 1).
Napenda sound kubwa ya injini kuanzia 200cc na kuendelea.
Bike aina gani mkuuHii bike mkononi naweza kupata kwa Tzs ngapi?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]maisha ni raha sanaKwani JF kuna mtu hana gari?
hata kwa sasa hapo Arusha mnacelebukia wapi?Updates....
Sikukuu wakati wa kukaa na familia.hata kwa sasa hapo Arusha mnacelebukia wapi?
kuna viwanja km Makao mapya Arusha usiseme usiseme Bar zote zianageuka Guest jua likitua, Mianzini kuna kile cha Arusha wanatafuna na kuvuta bado mirungi
mpaka mwaka mpya RRONDO tuporomoshee uzi usilale mpaka 01/01/2021
hata hiyo mkitupa si habaSikukuu wakati wa kukaa na familia.
Nipo the don now....kiwanja classichata kwa sasa hapo Arusha mnacelebukia wapi?
kuna viwanja km Makao mapya Arusha usiseme usiseme Bar zote zianageuka Guest jua likitua, Mianzini kuna kile cha Arusha wanatafuna na kuvuta bado mirungi
mpaka mwaka mpya RRONDO tuporomoshee uzi usilale mpaka 01/01/2021
ndiyo nilichotaka nilifikiri umelala mchana huu, basi endlea na soda nakuja lipiaNipo the don now....kiwanja classic
Apache rtr 180Bike aina gani mkuu