Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ikishakuwa kufanya kwa sifa tayari hiyo siyo hobby..na Mimi naongelea kusafiri kama hobby.

Ukweli unabaki kusafiri kwa hobby kunaambatana na hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaa sasa kama wapo wanaoweza kufanya kwa sifa unafikiri ndiyo watakosekana wanaoweza kufanya kwa hobby au unataka kila anayefanya hivyo ajitangaze na ahojiwe kwenye vyombo vya habari
 
Point yangu ipo kwenye kusafiri kama hobby..na uhusiano wa pesa na kusafiri.

Point yangu haipo kwenye sifa ama vyombo vya habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana wameshawahi kusafiri ila walisafiri kwa shida ,na si hobby.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajuaje kwani unawajua watu wote wanaoishi chini ya poverty line maana mie kuna watu nawajua wako chini ya hiyo ila kwao kusafiri ni kama kupiga chafya

Halafu ujue hiyo ya kuwa below poverty line huwa wanaipima countrywide tu kujua kama hii nchi ni masikini au la na waiweke kwenye kundi lipi ila kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja hauwezi kumuita mtu yeyote tu ambaye yuko above poverty line eti ni tajiri hata kama pesa zake ni za mawazo

Tusidanganyane mtu yeyote ambaye hana uwezo wa kukidhi mahitaji yote muhimu ya binadamu na bado akabaki na pesa za kufanya maendeleo na kuweka akiba huyo NI MASIKINI
 
Mwanzo uliniuliza tajiri ni nani
Nikasema anayeweza kukidhi mahitaji..
Hapo umeshanisaidia kukubali definition yangu niliyoitoa.

Bado tunarudi palepale,hobby ya kusafiri inahusisha hela na wanaosafiri wote kwa hobby ni matajiri kwa mujibu wa definition yangu ya utajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point yangu ipo kwenye kusafiri kama hobby..na uhusiano wa pesa na kusafiri.

Point yangu haipo kwenye sifa ama vyombo vya habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ndiyo ujue wapo wanaosafiri toka mkoa mmoja hadi mwingine kwa miguu kwa sababu kusafiri ni hobby yao hivyo kukosa hela siyo kisingizio cha wao kushindwa kusafiri
 
Mwanzo uliniuliza tajiri ni nani
Nikasema anayeweza kukidhi mahitaji..
Hapo umeshanisaidia kukubali definition yangu niliyoitoa.

Bado tunarudi palepale,hobby ya kusafiri inahusisha hela na wanaosafiri wote kwa hobby ni matajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulisema tajiri ni kuwa na uwezo wa kufanya mambo nikakuuliza mambo gani

Halafu na mimi nikakupa definition yangu kuwa tajiri ni mtu anayeweza kidhi mahitaji yote muhimu ya binadamu na bado akabakiwa na pesa za kufanyia maendeleo na kuweka akiba sikusema anayeweza kukidhi mahitaji tu kwahiyo hakuna mahali nilipokubaliana na hiyo definition yako

Kuna mtu yuko radhi asinunue nguo yaani zile zile chache alizonazo anazifanya "kauka nikuvae" kwa miaka kadhaa ili mradi tu atunze hela ya kusafiri sasa mtu kama huyu hauwezi kumuita tajiri maana pesa ya kununua hitaji muhimu kama nguo anaiwazia kweli lakini inapofika kwenye suala la kusafiri anajikuta anatoa tu bila majuto yoyote
 
Huyo tayari ni tajiri kwa sababu hatembei uchi na hajanunua nguo si kwa sababu ameshindwa kukidhi,bali kwa sababu hajaamua kununua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo tayari ni tajiri kwa sababu hatembei uchi na hajanunua nguo si kwa sababu ameshindwa kukidhi,bali kwa sababu hajaamua kununua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuwa ameshindwa kukidhi kwa sababu pesa zake ni za mawazo zisingekuwa za mawazo angekuwa na uwezo wa kununua nguo na bado akasafiri kama kawaida ila hadi anajibanabana hivyo ujue pesa zake ni za mawazo
 
Back
Top Bottom