Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimekuambia nitajie hao watu ambao wanatembea kwa mguu mkoa hadi mkoa for fun.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nimegundua wewe hapa unabishana kupoteza muda tu yaani ukweli umeshaujua ila unataka tu kuendelea kubishana na huwa hauchelewi kukimbilia kusema eti "unachangamsha genge" tu

Kukutajia majina ya watu siyo hoja na hata siku moja hauwezi kudai kutajiwa tu majina ya watu usiowajua au wasio maarufu eti kama kithibitisho cha hoja mtu anayotetea kwani akiamua kukutungia tu majina utajua kwahiyo ni wazi hapo unataka tu mabishano yaendelee maana utatajiwa majina ya hao watu na bado utabisha vile vile

Maana kuna mifano iko kule juu kuna watu wameshakuelezea hadi life experiences zao kuwa wana pesa za kuungaunga tu lakini bado kukosa kwao pesa siyo kisingizio cha wao kushindwa kuitekeleza hobby yao ya kusafiri

Hapo usikute moyoni unajisemea "huyu leo simuachi naenda naye sambamba" utafikiri umeambiwa hapa tunabishana kutafuta mshindi wakati tunaeleweshana na inaonesha kuelewa ulishaelewa ila unajitoa tu ufahamu

Kazi kweli kweli
 
Basi mimi sikujua hili.

Kama na hizo zinakuwa included kama road trip basi kumbe hata mimi nina hobby ya safari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sana , hata mmbuyu huanza kama mchicha, safari pia zina viwango mkuu.. ndio maana kuna usa, au kenya, au kisarawe, au safari ya mtaa kwa mtaa, jirani hadi nyumbani kwake.. ni levels tu za safari hizo
 
Unajua nimegundua wewe hapa unabishana kupoteza muda tu yaani ukweli umeshaujua ila unataka tu kuendelea kubishana na huwa hauchelewi kukimbilia kusema eti "unachangamsha genge" tu

Kukutajia majina ya watu siyo hoja na hata siku moja hauwezi kudai kutajiwa tu majina ya watu usiowajua au wasio maarufu eti kama kithibitisho cha hoja mtu anayotetea kwani akiamua kukutungia tu majina utajua kwahiyo ni wazi hapo unataka tu mabishano yaendelee maana utatajiwa majina ya hao watu na bado utabisha vile vile

Maana kuna mifano iko kule juu kuna watu wameshakuelezea hadi life experiences zao kuwa wana pesa za kuungaunga tu lakini bado kukosa kwao pesa siyo kisingizio cha wao kushindwa kuitekeleza hobby yao ya kusafiri

Hapo usikute moyoni unajisemea "huyu leo simuachi naenda naye sambamba" utafikiri umeambiwa hapa tunabishana kutafuta mshindi wakati tunaeleweshana na inaonesha kuelewa ulishaelewa ila unajitoa tu ufahamu

Kazi kweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nimegundua na wewe umeamua tu kusema Kuna hao watu na wakati hawapo ili niishie hapo.

Hatutafuti mshindi kwani hatupo kushindana bali kila mtu anatoa mawazo na mtazamo wake juu ya kusafiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nimegundua wewe hapa unabishana kupoteza muda tu yaani ukweli umeshaujua ila unataka tu kuendelea kubishana na huwa hauchelewi kukimbilia kusema eti "unachangamsha genge" tu

Kukutajia majina ya watu siyo hoja na hata siku moja hauwezi kudai kutajiwa tu majina ya watu usiowajua au wasio maarufu eti kama kithibitisho cha hoja mtu anayotetea kwani akiamua kukutungia tu majina utajua kwahiyo ni wazi hapo unataka tu mabishano yaendelee maana utatajiwa majina ya hao watu na bado utabisha vile vile

Maana kuna mifano iko kule juu kuna watu wameshakuelezea hadi life experiences zao kuwa wana pesa za kuungaunga tu lakini bado kukosa kwao pesa siyo kisingizio cha wao kushindwa kuitekeleza hobby yao ya kusafiri

Hapo usikute moyoni unajisemea "huyu leo simuachi naenda naye sambamba" utafikiri umeambiwa hapa tunabishana kutafuta mshindi wakati tunaeleweshana na inaonesha kuelewa ulishaelewa ila unajitoa tu ufahamu

Kazi kweli kweli

Safari ni furaha iliyo moyoni, haipimwi na mambo ya pesa. Kuna ile inner peace huja unapokuwa kwenye mazingira fulani au kuyaona.. na unakuta utoi hata sent hayo mazingira, hasa kwa sie watu pori huko kuna maeneo hata ukiwa na hela haina kazi wala hakuna mahala pa kuitumia
 
Back
Top Bottom