Khaaa sasa kama wapo wanaoweza kufanya kwa sifa unafikiri ndiyo watakosekana wanaoweza kufanya kwa hobby au unataka kila anayefanya hivyo ajitangaze na ahojiwe kwenye vyombo vya habariIkishakuwa kufanya kwa sifa tayari hiyo siyo hobby..na Mimi naongelea kusafiri kama hobby.
Ukweli unabaki kusafiri kwa hobby kunaambatana na hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point yangu ipo kwenye kusafiri kama hobby..na uhusiano wa pesa na kusafiri.Khaaa sasa kama wapo wanaoweza kufanya kwa sifa unafikiri ndiyo watakosekana wanaoweza kufanya kwa hobby au unataka kila anayefanya hivyo ajitangaze na ahojiwe kwenye vyombo vya habari
Wewe unajuaje kwani unawajua watu wote wanaoishi chini ya poverty line maana mie kuna watu nawajua wako chini ya hiyo ila kwao kusafiri ni kama kupiga chafyaYawezekana wameshawahi kusafiri ila walisafiri kwa shida ,na si hobby.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo uliniuliza tajiri ni naniWewe unajuaje kwani unawajua watu wote wanaoishi chini ya poverty line maana mie kuna watu nawajua wako chini ya hiyo ila kwao kusafiri ni kama kupiga chafya
Halafu ujue hiyo ya kuwa below poverty line huwa wanaipima countrywide tu kujua kama hii nchi ni masikini au la na waiweke kwenye kundi lipi ila kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja hauwezi kumuita mtu yeyote tu ambaye yuko above poverty line eti ni tajiri hata kama pesa zake ni za mawazo
Tusidanganyane mtu yeyote ambaye hana uwezo wa kukidhi mahitaji yote muhimu ya binadamu na bado akabaki na pesa za kufanya maendeleo na kuweka akiba huyo NI MASIKINI
Basi ndiyo ujue wapo wanaosafiri toka mkoa mmoja hadi mwingine kwa miguu kwa sababu kusafiri ni hobby yao hivyo kukosa hela siyo kisingizio cha wao kushindwa kusafiriPoint yangu ipo kwenye kusafiri kama hobby..na uhusiano wa pesa na kusafiri.
Point yangu haipo kwenye sifa ama vyombo vya habari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akina nani hao hebu watajeni.Basi ndiyo ujue wapo wanaosafiri toka mkoa mmoja hadi mwingine kwa miguu kwa sababu kusafiri ni hobby yao hivyo kukosa hela siyo kisingizio cha wao kushindwa kusafiri
Wewe ulisema tajiri ni kuwa na uwezo wa kufanya mambo nikakuuliza mambo ganiMwanzo uliniuliza tajiri ni nani
Nikasema anayeweza kukidhi mahitaji..
Hapo umeshanisaidia kukubali definition yangu niliyoitoa.
Bado tunarudi palepale,hobby ya kusafiri inahusisha hela na wanaosafiri wote kwa hobby ni matajiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo tayari ni tajiri kwa sababu hatembei uchi na hajanunua nguo si kwa sababu ameshindwa kukidhi,bali kwa sababu hajaamua kununua.Wewe ulisema tajiri ni kuwa na uwezo wa kufanya mambo nikakuuliza mambo gani
Halafu na mimi nikakupa definition yangu kuwa tajiri ni mtu anayeweza kidhi mahitaji yote muhimu ya binadamu na bado akabakiwa na pesa za kufanyia maendeleo na kuweka akiba sikusema anayeweza kukidhi mahitaji tu kwahiyo hakuna mahali nilipokubaliana na hiyo definition yako
Kuna mtu yuko radhi asinunue nguo yaani zile zile chache alizonazo anazifanya "kauka nikuvae" kwa miaka kadhaa ili mradi tu atunze hela ya kusafiri sasa mtu kama huyu hauwezi kumuita tajiri maana pesa ya kununua hitaji muhimu kama nguo anaiwazia kweli lakini inapofika kwenye suala la kusafiri anajikuta anatoa tu bila majuto yoyote
Hahaa sasa hata nikikutajia utawajua na ndiyo maana nikakuambia wapo ila hawajitangazi wala kuhojiwa kwenye vyombo vya habari hivyo siyo maarufu kama hao wanaotafuta sifa
Nitajie hata nisipowajua ni sawa.Hahaa sasa hata nikikutajia utawajua na ndiyo maana nikakuambia wapo ila hawajitangazi wala kuhojiwa kwenye vyombo vya habari hivyo siyo maarufu kama hao wanaotafuta sifa
Anakuwa ameshindwa kukidhi kwa sababu pesa zake ni za mawazo zisingekuwa za mawazo angekuwa na uwezo wa kununua nguo na bado akasafiri kama kawaida ila hadi anajibanabana hivyo ujue pesa zake ni za mawazoHuyo tayari ni tajiri kwa sababu hatembei uchi na hajanunua nguo si kwa sababu ameshindwa kukidhi,bali kwa sababu hajaamua kununua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oohh na ndiyo maana nikasema wewe umeamua tu kubisha
mafuta ya ofisi .. mala nyingi natembea sina hela mifukoni au hata nikiwa na elfu kumi kwangu huwa nyingi sanaa.. sihitaji hela nyingi kufurahia katika maisha yanguDuh gari yako inatumia upepo? Au jua?
Hadi amevaa nguo huyo tayari amekidhi.Anakuwa ameshindwa kukidhi kwa sababu pesa zake ni za mawazo zisingekuwa za mawazo angekuwa na uwezo wa kununua nguo na bado akasafiri kama kawaida ila hadi anajibanabana hivyo ujue pesa zake ni za mawazo
Kama wewe tu ulivyoamua kufosi dunia ya sasa kuwa na hao watu wanaotembea kwa mguu kutoka iringa hadi Mbeya eti" for fun"Oohh na ndiyo maana nikasema wewe umeamua tu kubisha
Tusi hukumu kwa macho.. mcheki JituMirabaMinne akaifanyie checkup in and out kitaalamu zaidiUshauri kaka kabla jamaa yangu hajakaa humo,kaiona sehemu iko sokoni,safari na comfy imo humo au hamna kitu?
View attachment 1871205
Kweli kabisa mkuuTusi hukumu kwa macho.. mcheki JituMirabaMinne akaifanyie checkup in and out kitaalamu zaidi
awwww Julieth.. serious 😊Twende 🙈😄
chombo imetulia kwa macho, ila ndani tuwaachie wataalamu..Kweli kabisa mkuu
Aisee sasa tangu lini tajiri akakaa mwaka mzima au zaidi bila kununua nguo maana hata hao wanaoishi below the so called poverty line ambao ndiyo huitwa masikini bado hawatembei uchiHadi amevaa nguo huyo tayari amekidhi.
Labda uniambie anatembea uchi.
Sent using Jamii Forums mobile app