Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kumbe nayo ni road trip eeh!Umejuaje kuwa sitembei uchi ? safari ya kutoka chumba kimoja hadi kingine mbona napiga chiu tu
Kwahiyo hiyo trip lengo litakuwa kunitembeza Mimi 60 km au lengo ni kukubeba?[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] navyopenda kubebwa utanibeba kuanzia mwanzo wa safari..
safii kabisa, nazo ni tirp. kwani safari ili iitwe safari inatakiwa iwe na nini ?Kumbe nayo ni road trip eeh!
Sikujua.
Basi kama ndio hivi kila siku nitaleta picha zangu za trip ninayopiga koridoni hapa nyumbani [emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo ni trip ya bila helaKwahiyo hiyo trip lengo litakuwa kunitembeza Mimi 60 km au lengo ni kukubeba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mimi sikujua hili.safii kabisa, nazo ni tirp. kwani safari ili iitwe safari inatakiwa iwe na nini ?
OhooLengo ni trip ya bila hela
Unajua nimegundua wewe hapa unabishana kupoteza muda tu yaani ukweli umeshaujua ila unataka tu kuendelea kubishana na huwa hauchelewi kukimbilia kusema eti "unachangamsha genge" tuNimekuambia nitajie hao watu ambao wanatembea kwa mguu mkoa hadi mkoa for fun.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana , hata mmbuyu huanza kama mchicha, safari pia zina viwango mkuu.. ndio maana kuna usa, au kenya, au kisarawe, au safari ya mtaa kwa mtaa, jirani hadi nyumbani kwake.. ni levels tu za safari hizoBasi mimi sikujua hili.
Kama na hizo zinakuwa included kama road trip basi kumbe hata mimi nina hobby ya safari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida sana kutembea bila mia, unaweza usiamini ila natembea mala nyingi hivyoOhoo
Sawasawa.
Njia tayari ninayo..
Ni wewe tu kujiandaa,, halafu usibebe hata shilingi Mia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hizo alizonazo alipewa wakati anazaliwa amaKwahiyo huyo mtu anasaifiri uchi hajavaa nguo?
Si tayari anazo,ila hataki kuongeza nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Unajua nimegundua wewe hapa unabishana kupoteza muda tu yaani ukweli umeshaujua ila unataka tu kuendelea kubishana na huwa hauchelewi kukimbilia kusema eti "unachangamsha genge" tu
Kukutajia majina ya watu siyo hoja na hata siku moja hauwezi kudai kutajiwa tu majina ya watu usiowajua au wasio maarufu eti kama kithibitisho cha hoja mtu anayotetea kwani akiamua kukutungia tu majina utajua kwahiyo ni wazi hapo unataka tu mabishano yaendelee maana utatajiwa majina ya hao watu na bado utabisha vile vile
Maana kuna mifano iko kule juu kuna watu wameshakuelezea hadi life experiences zao kuwa wana pesa za kuungaunga tu lakini bado kukosa kwao pesa siyo kisingizio cha wao kushindwa kuitekeleza hobby yao ya kusafiri
Hapo usikute moyoni unajisemea "huyu leo simuachi naenda naye sambamba" utafikiri umeambiwa hapa tunabishana kutafuta mshindi wakati tunaeleweshana na inaonesha kuelewa ulishaelewa ila unajitoa tu ufahamu
Kazi kweli kweli
Hadi ya makoridoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sana , hata mmbuyu huanza kama mchicha, safari pia zina viwango mkuu.. ndio maana kuna usa, au kenya, au kisarawe, au safari ya mtaa kwa mtaa, jirani hadi nyumbani kwake.. ni levels tu za safari hizo
Unajua nimegundua wewe hapa unabishana kupoteza muda tu yaani ukweli umeshaujua ila unataka tu kuendelea kubishana na huwa hauchelewi kukimbilia kusema eti "unachangamsha genge" tu
Kukutajia majina ya watu siyo hoja na hata siku moja hauwezi kudai kutajiwa tu majina ya watu usiowajua au wasio maarufu eti kama kithibitisho cha hoja mtu anayotetea kwani akiamua kukutungia tu majina utajua kwahiyo ni wazi hapo unataka tu mabishano yaendelee maana utatajiwa majina ya hao watu na bado utabisha vile vile
Maana kuna mifano iko kule juu kuna watu wameshakuelezea hadi life experiences zao kuwa wana pesa za kuungaunga tu lakini bado kukosa kwao pesa siyo kisingizio cha wao kushindwa kuitekeleza hobby yao ya kusafiri
Hapo usikute moyoni unajisemea "huyu leo simuachi naenda naye sambamba" utafikiri umeambiwa hapa tunabishana kutafuta mshindi wakati tunaeleweshana na inaonesha kuelewa ulishaelewa ila unajitoa tu ufahamu
Kazi kweli kweli
Si alizinunua ama!Sasa hizo alizonazo alipewa wakati anazaliwa ama
Nayo ni safari .. sema tu una picha yako kichwani ya namna unvyotaka safari iwe..
Ila hutembei nayo si kwa sababu hauna,bali kwa sababu umeamua.Kawaida sana kutembea bila mia, unaweza usiamini ila natembea mala nyingi hivyo
Nitaiongeza pia kwenye road trip.Nayo ni safari .. sema tu una picha yako kichwani ya namna unvyotaka safari iwe..
Nakuwa sina mkuu.. kuna mtu anaamua kutokuwa na hela eeh ?Ila hutembei nayo si kwa sababu hauna,bali kwa sababu umeamua.
Na hata Kama haipo,uliweka wese liilokufikisha huko ulikoenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila safari za ndani, mtu anapost akiwa chiu.. hicho kigezo kikubwa ili tuamini upo kwenye trip ya ndani.. na sio trip ya nje
Wese unawekewa,Nakuwa sina mkuu.. kuna mtu anaamua kutokuwa na hela eeh ?
Wese huwa nawekewa