Kazi kweli kweliOh ni kweli unaweza save hata miaka kumi.
Na ukishaweza kusave hiyo pesa uliyoitaja na ukasafiri ,tayari wewe unajiweza na umeweza kumudu hitaji la kusafiri.
In maana wewe si masikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishakuwa nayo tayari wewe siyo masikini.Sijaamua tu kwa sababu nauli ya kunitoa Dar hadi Mbeya na kurudi ninayo lakini mimi siyo tajiri na hata nikikosa hiyo nauli haiwezi kunizuia mimi kusafiri
Huyo kakaza hadi fuvu buddahTatizo umekaza sana ubongo.
tazama hizo pia za migombani.. tukitoka huko shwaa shwaa paka hapo..Mlima upi upo?
Naandaa 😂
Afu bora umebadili avatar. Ile haikukupendeza hata kidogo.
kwa namna yoyote ile
Mlima wa mawe, 🙂 🙂 huku mda kidogo mnafunikwa na wingu mda kidogo mvua mda kidogo ukungu.. gari mnapaki km zaidi ya 300.. mnaenda na punda au trekta
fanya booking .. maisha ndio haya haya..
What's up Romeo?! 😆😆😆Julieth 😳😳😳..
Hahaha suala la laki kuwa ndogo ni uchumi wa nchi ndiyo unadetermine na siyo mawazo ya mtu binafsi kwa uchumi wa sasa wa nchi yetu laki ni ndogo kwa mahitaji yote muhimu ya binadamu hata kama ingekuwa ni watu wote nchi nzima wanashindwa kuipataKuiona laki kubwa ni dalili ya umasikini sawa..
Vivyohivyo kuiona laki ndogo tayari ni dalili ya utajiri.
Kumbe wewe tayari si masikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali, mkononi mwako imewai kuja pesa au bado ?
Sasa unajua nimetumia muda gani kuipata na nimesacrifice mahitaji gani ya muhimu kwangu ili tu nikusanye ifike hiyo ili nisafiriUkishakuwa nayo tayari wewe siyo masikini.
Unaweza kufika mbeya hata kwa lift lakini hiyo Mimi sijaijumuisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ndio haya haya.. itabidi tuanzie hapa, maana tunatokea dom shwaaa paka hapa kwanza kupasha misuri ya mogoroto
Spoil yourself with a little luxury 😍tazama hizo pia za migombani.. tukitoka huko shwaa shwaa paka hapo..
Migombani Camp at Lake Manyara in Tanzania
C.c RRONDO
C.c Karma
chaka zuri hili lingine..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha suala la laki kuwa ndogo ni uchumi wa nchi ndiyo unadetermine na siyo mawazo ya mtu binafsi kwa uchumi wa sasa wa nchi yetu laki ni ndogo kwa mahitaji yote muhimu ya binadamu hata kama ingekuwa ni watu wote nchi nzima wanashindwa kuipata
Mahitaji muhimu ni kula,kuvaa,kulala na wengine waliongeza sex.Sasa unajua nimetumia muda gani kuipata na nimesacrifice mahitaji gani ya muhimu kwangu ili tu nikusanye ifike hiyo ili nisafiri
Nitoe kwenye kundi la umaskini.. mie sio mchoyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe tayari sisi si masikini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajasema pesa ya namna gani ndiyo maana nashindwa kujibu.Jibu swali, mkononi mwako imewai kuja pesa au bado ?
Mbona sijakuweka boss.Nitoe kwenye kundi la umaskini.. mie sio mchoyo
Basi sawa, kama umekosa majibu. Nasikia hisia fulani hivi ya safari ya singida kula kuku wa kienyeji.. Mungu saidia nipate upenyo niende