Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sisi ni masikini kwa sababu kuna nchi nyingine laki ya kwao ni hela ya gari tena la kifahari ilihali laki yetu ni hela ambayo unaweza kuishia kula mwezi mzima na kulipa kodi tu
Wewe sio maskini na haujawai kuwa maskini, then Mshukuru Mungu unacho chakutoa tayari tayari inakutoa kwenye umaskini.. unaweza mtoa mtu kwenye kiu, tayari u tajiri. Kutofanya au kushindwa jambo flani halifanyi wewe kuwa maskini.. ila ni majira na nyakti ndio vinakuzuia
 
Mahitaji muhimu ni kula,kuvaa,kulala na wengine waliongeza sex.
Wewe uliforgone lipi katika hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu anatakiwa kula mara tatu kwa siku ila mie nilikuwa nakula mara moja tu

Kuhusu kulala nilikuwa naishi kwa shemeji na nguo ninazo chache ambazo ni kauka nikuvae

Sex siyo hitaji muhimu kwa binadamu mahitaji muhimu ni yale ambayo binadamu akiyakosa anakufa
 
Usafiri halafu ukalale cheap lodge unakuwa umejinyima sanaa.. huwa nikisema natwanga trip kwa burudani au kama nina stress.. pa kulala ni nyota nne au tano.. hata kama sina hela nilale pazuri sanaa na mazingira mazuri machoni na mwili.
Kuridhika kwa mtu kupo kwa aina nyingi sana.

Kuna ambao sehemu ya kulala ni burudani, mwingine sio burudani ni basic tu.

Mi napenda tu zile unique experience, kulala sio priority kabisa ila siwezi kulala kwenye mazingira ambayo ni uncomfortable kama kwenye gari au mkeka.

Activities & Experiences is where my utility lies.
 
You've to live to the fullest 😍

Eti shwaaaa 🤣 yan wewe. Kama nakuona, Dom, Manyara, Tanga.
Lazima lazima hiyoooo 😊 😊 😊.. tuna spend hadi pumzi ya mwisho
Mungu alishasema msiwaze waze keho tuvae nini au tunywe nini, kama huyavika maua ya kondeni vizuri na ndege wa angani.. je ndege ni bora kuliko Julieth na Romeo ? Kesho itajisumbukia kutuletea mahitaji yetu tena
 
acha kufananisha SEX na mambo ya ajabu ajabu weweeee... 😎
 
Mkuu hapa tunaongelea tafsiri ya kiuchumi ya utajiri

Mungu tunatakiwa kumshukuru tu kwa kila jambo hata kama mtu hauna kitu wewe hapa duniani unapumua tu bado utatakiwa kushukuru

Lakini tunapoongelea utajiri wa kiuchumi tunaongelea beyond all that
 
Kweli kabisa mkuuu.. tupo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…