Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ni masikini kwa sababu kuna nchi nyingine laki ya kwao ni hela ya gari tena la kifahari ilihali laki yetu ni hela ambayo unaweza kuishia kula mwezi mzima na kulipa kodi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe tayari sisi si masikini
Sent using Jamii Forums mobile app
You've to live to the fullest 😍Maisha ndio haya haya.. itabidi tuanzie hapa, maana tunatokea dom shwaaa paka hapa kwanza kupasha misuri ya mogorotoView attachment 1871420
Tafuta hela twende, 🙂 🙂 🙂 🙂
Panaitwa Magoroto Forest. Tanga hukoo
Hahahaha jamani jamaniTafuta hela twende, 🙂 🙂 🙂 🙂
Sie twaenda bure tu kwa imani..
Wewe sio maskini na haujawai kuwa maskini, then Mshukuru Mungu unacho chakutoa tayari tayari inakutoa kwenye umaskini.. unaweza mtoa mtu kwenye kiu, tayari u tajiri. Kutofanya au kushindwa jambo flani halifanyi wewe kuwa maskini.. ila ni majira na nyakti ndio vinakuzuiaSisi ni masikini kwa sababu kuna nchi nyingine laki ya kwao ni hela ya gari tena la kifahari ilihali laki yetu ni hela ambayo unaweza kuishia kula mwezi mzima na kulipa kodi tu
🙂 🙂 🙂.. umeisha weka booking Julieth wangu .. hapo ni ku switch tu viwanja.. maisha haya usipo furahia kwa kidogo ulicho nacho basi unakuwa ni mtu usie na shukrani Bwana Mungu anaweza akakunyanganya akampa BakharesaHahahaha jamani jamani
Binadamu anatakiwa kula mara tatu kwa siku ila mie nilikuwa nakula mara moja tuMahitaji muhimu ni kula,kuvaa,kulala na wengine waliongeza sex.
Wewe uliforgone lipi katika hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari aiseepoa mkuu wangu, haya magari tunayale kama wake usipo lipeti peti lazima likukalishe chini
Kuridhika kwa mtu kupo kwa aina nyingi sana.Usafiri halafu ukalale cheap lodge unakuwa umejinyima sanaa.. huwa nikisema natwanga trip kwa burudani au kama nina stress.. pa kulala ni nyota nne au tano.. hata kama sina hela nilale pazuri sanaa na mazingira mazuri machoni na mwili.
Lazima lazima hiyoooo 😊 😊 😊.. tuna spend hadi pumzi ya mwishoYou've to live to the fullest 😍
Eti shwaaaa 🤣 yan wewe. Kama nakuona, Dom, Manyara, Tanga.
Huko umeongelea thamani ya pesa.Sisi ni masikini kwa sababu kuna nchi nyingine laki ya kwao ni hela ya gari tena la kifahari ilihali laki yetu ni hela ambayo unaweza kuishia kula mwezi mzima na kulipa kodi tu
acha kufananisha SEX na mambo ya ajabu ajabu weweeee... 😎Binadamu anatakiwa kula mara tatu kwa siku ila mie nilikuwa nakula mara moja tu
Kuhusu kulala nilikuwa naishi kwa shemeji na nguo ninazo chache ambazo ni kauka nikuvae
Sex siyo hitaji muhimu kwa binadamu mahitaji muhimu ni yale ambayo binadamu akiyakosa anakufa
Na Mimi kwa Imani nitaenda tu kwa kupaa na upepo wa kisulisuli kama Elia[emoji23]Tafuta hela twende, 🙂 🙂 🙂 🙂
Sie twaenda bure tu kwa imani..
Mkuu hapa tunaongelea tafsiri ya kiuchumi ya utajiriWewe sio maskini na haujawai kuwa maskini, then Mshukuru Mungu unacho chakutoa tayari tayari inakutoa kwenye umaskini.. unaweza mtoa mtu kwenye kiu, tayari u tajiri. Kutofanya au kushindwa jambo flani halifanyi wewe kuwa maskini.. ila ni majira na nyakti ndio vinakuzuia
Ndio hawa wanatuponza eti tunaenda kwa Imani bila pesa[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha jamani jamani
Kweli kabisa mkuuu.. tupo hivyoKuridhika kwa mtu kupo kwa aina nyingi sana.
Kuna ambao sehemu ya kulala ni burudani, mwingine sio burudani ni basic tu.
Mi napenda tu zile unique experience, kulala sio priority kabisa ila siwezi kulala kwenye mazingira ambayo ni uncomfortable kama kwenye gari au mkeka.
Activities & Experiences is where my utility lies.
Sasa utatenganishaje uchumi na thamani ya pesa labda wewe ndio uwe wa kwanza