Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Lakini kula ulikula,kulala ulilala na nguo ulivaa.
Tayari wewe siyo masikini[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa tunaongelea tafsiri ya kiuchumi ya utajiri

Mungu tunatakiwa kumshukuru tu kwa kila jambo hata kama mtu hauna kitu wewe hapa duniani unapumua tu bado utatakiwa kushukuru

Lakini tunapoongelea utajiri wa kiuchumi tunaongelea beyond all that
Mfumo wa maisha, una level.. ukikaa kwenye level utaona unatokea wapi unaelekea wapi.. ndoto yako inasema nini ndani yako.. uchumi pia una level .. ila tupamabne bado mda upo wa kufika katika ndoto zetu
 
Lakini kula ulikula,kulala ulilala na nguo ulivaa.
Tayari wewe siyo masikini[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hilo hitaji la kulala nimeshakuambia nilikuwa sijitimizii mimi kama mimi nilikuwa namtegemea mtu na kula nilikuwa sitimizi kama inavyotakiwa maana binadamu anatakiwa ale milo mitatu kwa siku pungufu ya hapo unajua madhara yake
 
Kuna watu wanapenda kuvaa na kuna watu wanavaa ili mradi tu kujisitiri

Ukiweza kununua nguo na ukabakiwa na hela ya kufanya maendeleo na kuweka akiba ndiyo wewe ni tajiri

Lakini kama ukinunua nguo basi unabaki ya hela ya kula tu wewe ni masikini
Sema usipo vaa nguo unaonekana kama maskini au kichaa.. ila kusudi la Mungu toka mwanzo tutembee chiu wa nyama.. kuna raha yake ya kutembea uchi.. imebaki tuntembea uchi vyumbani tu..dah
 
Sasa hilo hitaji la kulala nimeshakuambia nilikuwa sijitimizii mimi kama mimi nilikuwa namtegemea mtu na kula nilikuwa sitimizi kama inavyotakiwa maana binadamu anatakiwa ale milo mitatu kwa siku pungufu ya hapo unajua madhara yake
Ili mradi umekula na umelala bila kujali umekula vipi au umelala vipi,wewe tayari si masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo kitu ina heshima yake, sio ya kuilinganisha na hayo mambo basics, hiyo ni zaidi ya basics needs.. utasikia kesi za watu wameua kwa ajiri ya hiyo kitu, ila sio kukosa nguo au chakula ndio utajua ni zaidi ya basiki niidi
Acha kulinganisha chakula na vitu vya ajabu.


Watu hadi wanaua watu ili wapate pesa za kula.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…